Ujinga mtupu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 887
- 2,010
Aisee MUNGU anisaidie kwa hili.....ni zaidi ya madawa ya kulevyaPole mkuu kwa kuathirika na vyema pia umeacha..ila udhamirie haswa sio baadae ukipata stimu unashtua
Atakusaidia mkuuAisee MUNGU anisaidie kwa hili.....ni zaidi ya madawa ya kulevya
Mods naomba muedit kichwa cha habari..
Lile neno linatakiwa liww kuacha
Madhara yameongezeka mkuu[emoji1] [emoji1][emoji30][emoji30][emoji30] Kwann chaputa wanapungua hivi,mwenyekiti tafadhali chukua hatua za haraka.
Akili za usiku
Hakuna kitu kama hicho dhambi kwa MUNGUTafadhali usiwaongelee wanachama wangu, na kadi yako ya uanachama haitaeksipaya mpaka 2034
Yaani mpaka nilikuwa najiogopa[emoji125] [emoji125] [emoji125] kama sio mimi vileKama una test mitambo hutafanikiwa,ila kama umedhamiria utaacha.Ila kiwango chako kiko juu mara 3 kwa sikuπππππ
Jitahidi uache mara 3 sio masihara ni hatari.Yaani mpaka nilikuwa najiogopa[emoji125] [emoji125] [emoji125] kama sio mimi vile