Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
CHAPUTA kama sikoseiKuna jamaa alikuja na ID mpya anaitwa Nimepona mfwatilie ujue maswahibu aliyopitia kwenye hicho chama!!!
Panado 3X1 kwa siku mara tatu!dawa gani mkuu
mkuu mbona kama unanena kwa lughaI'm grateful to John McCain Magufully for his lifetime of service to our country. Congratulations, John, on receiving this year's Liberty Medal."
Leo ndio anasema kapiga tena, mara ya mwisho alipiga juzi, sasa achievement yake ni kuwa jana hajapiga.., hahahahah.., soma vizuri post yake
Yaani!KUNA watu na viatu humu!JamiiForums [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anakemea pepo.mkuu mbona kama unanena kwa lugha
Kwa nini kaka?mkuu mbona kama unanena kwa lugha
afuate link hii kama inaweza kumsaidia au kumtia hamasa kuacha:Kuna jamaa alikuja na ID mpya anaitwa Nimepona mfwatilie ujue maswahibu aliyopitia kwenye hicho chama!!!
Cc Zasasuleafuate link hii kama inaweza kumsaidia au kumtia hamasa kuacha:
Punyeto: Nilivyoanza, nilivyoacha na hali ya sasa
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] umetisha km kinyagowakuu hatimaye nimeshuhudia Mimi mwenyewe dawa ya kuacha punyeto.
Watu wengi wamekua wakitamani kuacha hii kitu lakini wanashindwa.
Unakuta mtu anapanga kutopiga teena maishani lakini ndani ya siku chache tu karudia haka kamchezo ka kupambana na hali yako.wakati unaanza kupiga pale inapoanza kunoga rohoni unakua unasema "leo itabidi nipige hata viwili au zaidi "lakini mara tu baada ya kumaliza cha kwanza unaanza kujilaumu kwanini ulipiga wakati ulipanga kuacha..
~Dawa
Sasa baada ya utafiti nimegundua dawa nzuri ya kuacha punyeto ambayo ni kufanya mazoezi kila siku, kuwa busy muda mwingi pamoja na kuavoid magroup ya kwenye mitandao ya kijamii kama Facebook na watsap ambayo yanabase katika sex issue pamoja na websites za porn.
~Ushuhuda
Mimi mwenyewe ni shuhuda maana tangu baada ya kuanza kuzingatia yote hayo yaani siku ya juzi leo hii ndio nimekuja kupiga tena.
anayejua nyingine tupeane ujuzi hapa
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Achana na mawazo potofu ya kilokole....nyeto na selfie hazina madhara yeyote, kile ni kiburudisho cha nafsi ya mtu....yaani ukijihisi mzuka umekuzidi yabidi ujichue tu tena kwa raha yako menyewe bhana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseeeHasara ya kwanza tunawadharau wanaume sababu tunajua fika kwamba bila nyie kileleni tunafika tena kwa utamu wa hali ya juu.......... Ngoja nikavute bange kwanza ntarudi kufunguka zaidi