Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Leo ndio anasema kapiga tena, mara ya mwisho alipiga juzi, sasa achievement yake ni kuwa jana hajapiga.., hahahahah.., soma vizuri post yake

Hahahaaaaaaa, huyu jamaa kweli kaathirika sana aisee, hawezi acha tena hiyo kitu kabisa
 
wakuu hatimaye nimeshuhudia Mimi mwenyewe dawa ya kuacha punyeto.

Watu wengi wamekua wakitamani kuacha hii kitu lakini wanashindwa.

Unakuta mtu anapanga kutopiga teena maishani lakini ndani ya siku chache tu karudia haka kamchezo ka kupambana na hali yako.wakati unaanza kupiga pale inapoanza kunoga rohoni unakua unasema "leo itabidi nipige hata viwili au zaidi "lakini mara tu baada ya kumaliza cha kwanza unaanza kujilaumu kwanini ulipiga wakati ulipanga kuacha..

~Dawa
Sasa baada ya utafiti nimegundua dawa nzuri ya kuacha punyeto ambayo ni kufanya mazoezi kila siku, kuwa busy muda mwingi pamoja na kuavoid magroup ya kwenye mitandao ya kijamii kama Facebook na watsap ambayo yanabase katika sex issue pamoja na websites za porn.

~Ushuhuda
Mimi mwenyewe ni shuhuda maana tangu baada ya kuanza kuzingatia yote hayo yaani siku ya juzi leo hii ndio nimekuja kupiga tena.

anayejua nyingine tupeane ujuzi hapa

[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] umetisha km kinyago
 
Achana na mawazo potofu ya kilokole....nyeto na selfie hazina madhara yeyote, kile ni kiburudisho cha nafsi ya mtu....yaani ukijihisi mzuka umekuzidi yabidi ujichue tu tena kwa raha yako menyewe bhana.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Hasara ya kwanza tunawadharau wanaume sababu tunajua fika kwamba bila nyie kileleni tunafika tena kwa utamu wa hali ya juu.......... Ngoja nikavute bange kwanza ntarudi kufunguka zaidi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseee
 
Selfie iko poa..ila tu usiingize kitu huko chini. Yaani taratiiiiiiibuuu
 
Mmh hayo madhara huyo mtu anakua anafanya nyeto ya dizaini gani maana mmmh!!! mimi hapana sikia.
 
Mwanamke anayepiga nyeto labda wa bording ya kike. Mtaani labda asiwe na mvuto... kuna midume inatongoza kila anayekatiza. Utakosaje mwanaume upige puli? Hiyo achieni midume domo zege au ya boys school
 
Back
Top Bottom