Mwenyekiti wa CHAPUTA natoa tahadhari kwa wanachama wote wa CHAPUTA juu ya nyuzi kama hizi.

Ambazo zinalenga kutoa siri za kambi pamoja na faragha kwa wanachama wote.

Kwa mshikamano wote naomba tuendelee kuchukua tahadhari kwa kutoa taarifa kwa wanachama wengine pia.

Imetolewa na mwenyewe wa CHAPUTA.

Kichwa Kichafu.
 
Kumbe
 
Ni utumwa pia
Ungeanza kusimulia wewe ulivyoanza kama mfano ili wengine watiririke. Sasa wewe unataka kusikia za wenzio tu.

rikiboy mwenyewe katika uzi wake alianza yeye kusimulia alivyokula kimasihara kisha wengine wakapata nguvu na uzalendo wa kuuendeleza ule uzi.

Haya tunaomba hadithi yako tujue ulianzaje ili nasi tukupe zetu.
 
Sijui nilianzaje ila nakumbuka nilivyoacha kilichosababisha niache
 
Kwanza Punyeto ni nini mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…