Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Mwenyekiti wa CHAPUTA natoa tahadhari kwa wanachama wote wa CHAPUTA juu ya nyuzi kama hizi.
Ambazo zinalenga kutoa siri za kambi pamoja na faragha kwa wanachama wote.
Kwa mshikamano wote naomba tuendelee kuchukua tahadhari kwa kutoa taarifa kwa wanachama wengine pia.
Imetolewa na mwenyewe wa CHAPUTA.
Kichwa Kichafu.