Nakumbuka mfano gazeti la femina hip, mtu anamuuliza uncle au aunt kwamba, punyeto ina madhara, lakini uncle anasema haina madhara ukipiga mara chache.
Lengo la uncle ni kumsaidia kijana amalize shule, bila kuangalia madhara ya punyeto. Punyeto huleta ulemavu wa kudumu. Nakumbuka kipindi napiga punyeto nikiwa form three, nilikuwa nafanya mazoezi ya mpira, hivyo sikuathirika sana na punyeto kwa sababu kuna bro mmoja aliniambia madhara yake, nikaacha kabisa, nikajikita kwenye mpira na kupiga ma house girl.
Vijana wanapitia changamoto sana, katika balehe zao, wasiachwe peke yao wajiongoze, ni hatari sana!
Kiukweli, kama waalimu huko shuleni, wawaeleze vijana, punyeto ina madhara makubwa sana.