Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Niliingia CHAPUTA nikiwa na miaka 11, binafsi nilikua nadhani ni mimi tu ndo najua kuzibatua .. aisee zile raha nikatamani niwasanue na wana ila nikaona ufala acha niendelee kujipimia .. hivo yani mpaka sasa ni mwanachama mwandamizi hapa CHAPUTA .. CCM mbele kwa mbele ..
 
Kuna wakati inakunogea walau usuguliwe kwa dakika 45 hadi lisaa au na nusu hata mawili hivi huku ukishusha vitu tuuuu halafu mwishoni mnashusha wote kwa pamoja ile ya kukutana ile phaaaaaaah!!!!! na usingizi wa nguvu [emoji1] ukija kuamka unaoga kisha unarelax.
 
Endeleeni kujidunga bhn
16278963808881148.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenyekiti wa CHAPUTA natoa tahadhali kwa wanachama wote wa CHAPUTA juu ya nyuzi kama hizi.

Ambazo zinalenga kutoa siri za kambi pamoja na faragha kwa wanachama wote.

Kwa mshikamano wote naomba tuendelee kuchukua tahadhali kwa kutoa taarifa kwa wanachama wengine pia.

Imetolewa na mwenyewe wa CHAPUTA.

Kichwa Kichafu.
Naunga mkono hoja, zidumu fikra za mwenyekiti [emoji98]
 
Kwa muathirika wa punyeto aliyefanya kwa miaka 9 kisha kuacha itachukua muda gani kurudisha nguvu za kiume?
Je, kuna dawa ya asili ya kutibu hili tatizo......?
 
Kwa muathirika wa punyeto aliyefanya kwa miaka 9 kisha kuacha itachukua muda gani kurudisha nguvu za kiume?
Je, kuna dawa ya asili ya kutibu hili tatizo......?
 
Back
Top Bottom