Mkuu umesahau faida, na vilevile tunaomba sources na uthibitisho wa hayo
 
Yaani wakuu siamin kama nina mwez wa nane sas hiv cjapiga punyeto,
Eeh mungu nisaidie nisirud..
 
Comment zinachekesha balaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Habari za jion wana JF,

Natumaini mu wazima wa afya, Moja kwa moja kama tittle hapo juu inavyojieleza, Binafsi na Baadhi ya wanaume wangetamani kujua mitazamo ya wadada juu ya wanaume wanaopiga punyeto.

Nini sababu hasa, ni kwamba wanawake wanaringa, vijana madomo zege, hela hawana, wewe kama mwanadada humu unamtazamo gani juu ya wanaume wenye tabia hii ya kujichua? Unafikiri ni kwanini, na nini kifanyike kuhakikisha tunatokomeza hii tabia mbaya..

Uzi tayari....

Nasubiri maoni ya wadada, na wakaka kama wakipenda kuchangia pia..[emoji294]


 
Wao wenyew wanashindia midildo skuiz..unafkr watakwambia nn [emoji3]
Nimeukumbuka wimbo wa kilimanjaro band "wacha wacha waseme,watasema mchana eh usiku watalala"

Hatujali mitazamo yao😂
 
Chenga nyingi wanasumbua sana vijana. Mtu anakwambia njoo kwangu tupate good time, yeye anakwambia sina hela ya nywele, mara simu yangu inasumbua nataka mpya, mara naomba sijui hela ya nini , sasa hizo vitu zinaconnection gani na migegedo?!

Ndio maana madogo wanaona bora kama vipi wapambe na sheria mkononi maana kama ukiwa hauna hela inakuwa nongwa basi wacha wakose vyote tu.....
 
Mashauzi kibao wacha watu wapige bao la mkono

Tunangojea dakika za majeruhi umri ushatembea tuje kuoa kwa laki
 
🤣🤣🤣🤣
 
Mashauzi kibao wacha watu wapige bao la mkono

Tunangojea dakika za majeruhi umri ushatembea tuje kuoa kwa laki
Na hapo mtakuwa hamjajitendea haki. Umri ukienda ni kuwasema tu miaka yote hadi wafe wamepinda midomo.

Tunaoa wadogo zao tu hawa mabinti wa kuzaliwa kati ya 1988+ hadi 1998 akili zao zimejaaa vumbi za magharibi. Watajioa wenyewe......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…