Punyeto ni nini na nini madhara yake?
NILIANZAJE KUJIPIGA NYAMA!!

Binafsi nakumbuka nikiwa darasa la saba mwaka 2005 hivi, mida ya saa tano aliingia mwalimu wa sayansi, ilikuwa ni taribani wiki ya tatu tunaendelea kusoma topic ya uzazi, basi hio topic nakumbuka hata watoro walikuwa hawaikosi na kulikuwa na umakini na usikivu wa hali ya juu mno kinapofika kipindi cha sayansi.

Muda wa maswali ulifika, Kuna mdau nadhani alikuwa anauliza kitu ambacho alikuwa analijua jibu tayari ila alikuwa anataka uchambuzi yakinifu, aliuliza swali " hivi mwalimu mtu akijipaka sabuni kwenye penis wakati anaoga kitu gani kinatokea" naam, hata mwalimu alikuwa anajua kwamba alieuliza swali ana lengo lake ila jibu analikua, Basi mwalimu akaanza kufunguka misamiati na mambo mapya ambayo hata sikuwa kuyaskia, akatoa somo kwamba kuna watu wanajipa huduma kivyao "sef service" bila msaada wa wenza, aidha kwa sabuni au mafuta ya mgando na hapo ndipo wanakwea mnazi kwa kuipiga nyama juu na chini mfululizo.

Swali lilifofatia liligusia kumwaga shahawa basi yani watu tukawa hatuelewi hivi hizo shahawa ni unazitoa kwa hiari kama unavyokojoa au vipi, ticha alijaribu kuelezea lakini wapi.

Basi zilipita siku kama tatu, kuna watu walikuwa waeshaenda kufanya homework waliyojipa wenyewe kwa vitendo, katika stori za hapa na pale wadau wakawa wanafunguka juu ya mrejesho, watu tukawa tunauliza ina ladha gani, lakini hata tulipojaribu kuilinganisha na chai ya maziwa enye ssukari, mtafiti aliefanya vitendo alisema haifiki hata robo yarobo, Dah basi kila moja akabaki na kiulizo na bila shaka ikawa ndio tiketi ya kujaribu.

Nikiwa nyumbani, ulipofika muda wa kuoga, nilibeba kikopo changu cha mafuta ta baby care, nilivyomaliza kuoga nikafungulia bomba la maji kuzuga kwamba naendelea kuoga,

Nikapakaa mafuta kwenye kiganja changu cha kulia, nikapakaa na kwa mr, nikaanzakufata maelekezo aliyotupa mtafiti.

Bwana weeee!!! ahh, nikaanza kusikia ka feeling flan hivi, nikakoleza mtambo, nje ndani kwa spidi, mara paaahhhhh!!!

Ilikuwa ni kama nafsi yangu imeshikiliwa kwa dakika 2 nzima isinirudie huku nipo mdomo wazi nimekodoa macho.

Basi huo ndio ukawa mwanzo wangu wa kujipiga selfie, Nikiwa sekondari hali ndio ilikuwa mbaya, kutwa mara 3 kama dawa hivi.

NIMEJIPIGA KWA MUDA GANI

miaka 13 hadi 17, hapa nilikuwa najipiga sana na ubaya nilikuwa sina girlfriend, Nakumbuka shuleni kulikuwa na shindano la mtu anaepiga bao litalofika mbali anapewa buku, kiufupi wengi sana waikuwa wanapiga nikiwa shuleni.

Miaka 17 hadi 19, form 4 hadi 6 nilianza kupata madem, ikawa ni mara yangu ya kwanza kupiga kitu halisi, hii hali ilinifungulia geti kujikita zaidi kutafuta wanawake, nilianza kuwa msafi, kuvaa vizuri, kuwa mcheshi, n.k japo nilikuwa na wasichana ila bado ilikuwa sio kivile, hadi nipate gemu ni kwa mbinde, niliendelea na nyeto ila sio sana, kwa wiki hata mara 5.

Miaka 20 hadi 25 - hapa nilikuwa nimeanza chuo, nilipania sana kuutumia uhuru wangu kuwa na binti kimapenzi bila vizuizi vile vya sekondari, nilipanga geto, pesa kwa mbali ilikuwepo, nilikuwa navaa vizuri, mchangamfu, n.k kupata binti sikutumia nguvu sana, nilikuwaga najidai mtu flani serious hivi ila kiukweli wapenzi niliowahi kuwa nao walikua kwamba nina udhaifu linapokuja swala la mechi, hapa niseme ukweli tu ata semesta ya kwanza sikurudi nyumbani nilibaki na dem wangu geto, upigaji wa nyeto ulipungua sna japo niliendelea

MIaka 26 - hapa niiacha kabisa, japo siwezi kudanganya kwa mwaka naweza stua mara 4 hivi.

MADHARA

Kumbu kumbu nilianza kupata shida kuzitunza

Niliharibu ratiba ili kujikamua

Kuchafua mashuka na blanketi navyopiga za ndani ya kitanda, shahawa zikiruka uchafu tayari.

Nilipoteza mvuto, nilikuwa napendwa na watu wengi sana, nilipoanza idadi ilipungua wengi wakidai nimebadilika

USHAURI

Nashauri wazazi msiwape hivyo hovyo hizi simu watoto hata wakifaulu, simu hizi ni mafuta ya taa kwenye hii sekta.

Vijana wawe na hofu ya Mungu

Vijana wawe na wenza wenye uhakika nao ki afya
 
Kuna punyeto ya nzi unamdaka unamueka kwenye chupa alaf kichwa ya dudu unaeka pale unaponywea soda kila akitaka kutoka nzi anakutekenya wacha kabsa!
kuna ya mende, unakaa kwenye maji alaf kichwa cha abdalla kinatokeza juu, unamweka mende pale, mende anaogopa maji so kutwa kucha anazunguka juu ya kichwa
 
Huu mchezo kuna watu waliwahi sana kumbe! Nilianza nikiwa 21, nakumbuka kabisa first time, thank goodness sishtui tena.
 
NILIANZAJE KUJIPIGA NYAMA!!

Binafsi nakumbuka nikiwa darasa la saba mwaka 2005 hivi, mida ya saa tano aliingia mwalimu wa sayansi, ilikuwa ni taribani wiki ya tatu tunaendelea kusoma topic ya uzazi, basi hio topic nakumbuka hata watoro walikuwa hawaikosi na kulikuwa na umakini na usikivu wa hali ya juu mno kinapofika kipindi cha sayansi.

Muda wa maswali ulifika, Kuna mdau nadhani alikuwa anauliza kitu ambacho alikuwa analijua jibu tayari ila alikuwa anataka uchambuzi yakinifu, aliuliza swali " hivi mwalimu mtu akijipaka sabuni kwenye penis wakati anaoga kitu gani kinatokea" naam, hata mwalimu alikuwa anajua kwamba alieuliza swali ana lengo lake ila jibu analikua, Basi mwalimu akaanza kufunguka misamiati na mambo mapya ambayo hata sikuwa kuyaskia, akatoa somo kwamba kuna watu wanajipa huduma kivyao "sef service" bila msaada wa wenza, aidha kwa sabuni au mafuta ya mgando na hapo ndipo wanakwea mnazi kwa kuipiga nyama juu na chini mfululizo.

Swali lilifofatia liligusia kumwaga shahawa basi yani watu tukawa hatuelewi hivi hizo shahawa ni unazitoa kwa hiari kama unavyokojoa au vipi, ticha alijaribu kuelezea lakini wapi.

Basi zilipita siku kama tatu, kuna watu walikuwa waeshaenda kufanya homework waliyojipa wenyewe kwa vitendo, katika stori za hapa na pale wadau wakawa wanafunguka juu ya mrejesho, watu tukawa tunauliza ina ladha gani, lakini hata tulipojaribu kuilinganisha na chai ya maziwa enye ssukari, mtafiti aliefanya vitendo alisema haifiki hata robo yarobo, Dah basi kila moja akabaki na kiulizo na bila shaka ikawa ndio tiketi ya kujaribu.

Nikiwa nyumbani, ulipofika muda wa kuoga, nilibeba kikopo changu cha mafuta ta baby care, nilivyomaliza kuoga nikafungulia bomba la maji kuzuga kwamba naendelea kuoga,

Nikapakaa mafuta kwenye kiganja changu cha kulia, nikapakaa na kwa mr, nikaanzakufata maelekezo aliyotupa mtafiti.

Bwana weeee!!! ahh, nikaanza kusikia ka feeling flan hivi, nikakoleza mtambo, nje ndani kwa spidi, mara paaahhhhh!!!

Ilikuwa ni kama nafsi yangu imeshikiliwa kwa dakika 2 nzima isinirudie huku nipo mdomo wazi nimekodoa macho.

Basi huo ndio ukawa mwanzo wangu wa kujipiga selfie, Nikiwa sekondari hali ndio ilikuwa mbaya, kutwa mara 3 kama dawa hivi.

NIMEJIPIGA KWA MUDA GANI

miaka 13 hadi 17, hapa nilikuwa najipiga sana na ubaya nilikuwa sina girlfriend, Nakumbuka shuleni kulikuwa na shindano la mtu anaepiga bao litalofika mbali anapewa buku, kiufupi wengi sana waikuwa wanapiga nikiwa shuleni.

Miaka 17 hadi 19, form 4 hadi 6 nilianza kupata madem, ikawa ni mara yangu ya kwanza kupiga kitu halisi, hii hali ilinifungulia geti kujikita zaidi kutafuta wanawake, nilianza kuwa msafi, kuvaa vizuri, kuwa mcheshi, n.k japo nilikuwa na wasichana ila bado ilikuwa sio kivile, hadi nipate gemu ni kwa mbinde, niliendelea na nyeto ila sio sana, kwa wiki hata mara 5.

Miaka 20 hadi 25 - hapa nilikuwa nimeanza chuo, nilipania sana kuutumia uhuru wangu kuwa na binti kimapenzi bila vizuizi vile vya sekondari, nilipanga geto, pesa kwa mbali ilikuwepo, nilikuwa navaa vizuri, mchangamfu, n.k kupata binti sikutumia nguvu sana, nilikuwaga najidai mtu flani serious hivi ila kiukweli wapenzi niliowahi kuwa nao walikua kwamba nina udhaifu linapokuja swala la mechi, hapa niseme ukweli tu ata semesta ya kwanza sikurudi nyumbani nilibaki na dem wangu geto, upigaji wa nyeto ulipungua sna japo niliendelea

MIaka 26 - hapa niiacha kabisa, japo siwezi kudanganya kwa mwaka naweza stua mara 4 hivi.

MADHARA

Kumbu kumbu nilianza kupata shida kuzitunza

Niliharibu ratiba ili kujikamua

Kuchafua mashuka na blanketi navyopiga za ndani ya kitanda, shahawa zikiruka uchafu tayari.

Nilipoteza mvuto, nilikuwa napendwa na watu wengi sana, nilipoanza idadi ilipungua wengi wakidai nimebadilika

USHAURI

Nashauri wazazi msiwape hivyo hovyo hizi simu watoto hata wakifaulu, simu hizi ni mafuta ya taa kwenye hii sekta.

Vijana wawe na hofu ya Mungu

Vijana wawe na wenza wenye uhakika nao ki afya
PUNYETO TAMU ASIKWAMBIE MTU PUNYETO TAMU
 
kuna ya mende, unakaa kwenye maji alaf kichwa cha abdalla kinatokeza juu, unamweka menda pale, mende anaogopa maji so kutwa kucha anazunguka juu ya kichwa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuanzia leo ww tutakupigia chepuo uwe mwanyekiti wa wa kamati ya uvumbuzi chaputa maana umetisha kwa hili

Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom