Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,202
- 28,732
Poa mkuuMambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa mkuuMambo
Atakua amekosa kitu adhimu sana ambacho kinazidi utamu wenyeweKama 'kwa kawaida' namaanisha 'ni kiasi gani mtu inastahili kufanya masterbation' lakini pia ndio sio kawaida kwa mwanaume kuwa hajawahi kabisa hata kujaribu kufanya. Je kuna tatizo lolote kama mtu usipofanya? Jibu ni hapana ,lakini; sio jambo la kawaida kabisa.
Sio kawaida kabisa kwa mwanaume rijali kama hajawahi kabisa kupiga puchu hata mara moja katika maisha yake. Lakini hii haileti maana kwamba mwanaume huyu ana shida kisaikolojia wala kiafya kwa kutojaribu 'mastabashen'. Labda ni kawaida sana kwa baadhi ya jamii kutojihusisha na jambo hili kuliko wengi tunavyojua.
Baadhi ya watu mahitaji yao ya kingono yapo chini so wanaona muda mwingine sio dili. Hii ni jambo zuri ikiwa hivyo.
-: Nashindwa kuelewa ilikuwaje ukajua kwamba ukishika ile nyama na kusugua sugua unapata utamu??[emoji1][emoji1]
😂😂😂😂yani natoka kutenda kosa mda huu nakutana na bango ontime
Kupumzika sio kuacha jinga wewe..😂Nashukuru mungu nina Kama mwezi 1 na nusu nimeacha kabisa huo mchezo
[emoji818][emoji818][emoji818]Mnasema Tz imepewa mkopo wa quadrillion ngapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Msisahau kuchukua taadhari mapema..Kuna mvua kubwa itaanza kunyesha yenye kuleta madhara.
Punguza kuwaza ngono.achana na porn futa kote.jiwekee utaratibu wa kusoma vitabu ama vitu vinavokuweka busy sana.Naweza kuacha kujichua..? Nimekua mlevi kwa miaka mingi Sasa[emoji120][emoji120][emoji120]
Mkuu unataka uache uende wapi?Naweza kuacha kujichua..? Nimekua mlevi kwa miaka mingi Sasa[emoji120][emoji120][emoji120]