Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Naomba kuuliza, mfano wewe ni mhanga wa punyeto na umedhamilia kuacha.. Je? ukiacha kupiga punyeto kabisa takribani miaka 3, inaweza kurudisha ufanisi wako katika sex?

Pia kama kuna mwenye experience na hii kitu. Naomba anijuze

Natanguliza shukrani
 
Usiache piga. Mara Moja kwa wiki.... Yaani kama vile unakula bia kila weekend [emoji1787][emoji23]
 
Naomba kuuliza, mfano wewe ni mhanga wa punyeto na umedhamilia kuacha.. Je? ukiacha kupiga punyeto kabisa takribani miaka 3, inaweza kurudisha ufanisi wako katika sex?

Pia kama kuna mwenye experience na hii kitu. Naomba anijuze

Natanguliza shukrani

Nadhani itasaidia sana hata kwa miez 6 tu
 
Habarini mi nashida ya tatizo la nguvu za kiume na uume wangu mdogo sana kama wa mtoto nahitaji tiba nmeangaika sana nmekata tamaa ni muanga wa punyeto na xxx mwaka wa kumi huu unae da wa 11
 
Nyeto huwezi acha
 
safi sana, karibu chamani
 
Masturbation ina madhara ingawa yanaweza kuonekana kuwa sio ya kiafya.

Ukiendekeza sana hutakuwa na hamu ya kukutana na mwanamke kabisa na hata ukikutana naye unakuwa na nguvu kidogo sana ya kujamiiana. Na ukimaliza hicho kimoja ndio mpaka wiki ipite. Na hata kama ukiacha hutakuwa na nguvu kwa muda mrefu kitu ambacho hakitakuletea furaha ya mapenzi na mwanamke.

Ni vema kutofanya kabisa kama inawezekana.
Sasa hayo ndo madhara? Mbona faida tupu?
 
Habarini mi nashida ya tatizo la nguvu za kiume na uume wangu mdogo sana kama wa mtoto nahitaji tiba nmeangaika sana nmekata tamaa ni muanga wa punyeto na xxx mwaka wa kumi huu unae da wa 11
Huna tatizo la nguvu za kiume, ila una tatizo la kisaikolojia ambalo limesababishwa na maneno unayo sikia mtaani kuwa punyeto inauwa nguvu za kiume Kitu ambacho si kweli. Yaani wewe ubongo wako umeharibika unahitaji tiba.
Maneno uloambiwa kuhusu madhara ya punyeto ni mengi mno nawe ukaamini wakati si kweli

Ukweli ni kwamba punyeto haina madhara yoyote. Ujue hata uwongo ukisemwa sana bila kukanushwa hugeuka ukweli

Kuhusu maumbile kuwa madogo hiyo haisababishwi na puli bali hayo ndo maumbile yako. Nadhani ulikuwa hivo tangu ulipo balehe ila mwanzo ulikuwa unaona kawaida ila sasa maneno ya watu na kufeli kwako kwenye mchezo kunakufanya uhisi pengine uume ni mdogo sababu ya nyeto

Mdogo wangu mapenzi ni hisia, na hisia huanzia katika ubongo. kama ubongo unashida huwezi perform.
Ni lazima ujiamini ukiwa na wasiwasi tu umefeli
Nitaendelea......
 
Habarini mi nashida ya tatizo la nguvu za kiume na uume wangu mdogo sana kama wa mtoto nahitaji tiba nmeangaika sana nmekata tamaa ni muanga wa punyeto na xxx mwaka wa kumi huu unae da wa 11
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]khaaaaah.
 
Back
Top Bottom