Kama 'kwa kawaida' namaanisha 'ni kiasi gani mtu inastahili kufanya masterbation' lakini pia ndio sio kawaida kwa mwanaume kuwa hajawahi kabisa hata kujaribu kufanya. Je kuna tatizo lolote kama mtu usipofanya? Jibu ni hapana ,lakini; sio jambo la kawaida kabisa.
Sio kawaida kabisa kwa mwanaume rijali kama hajawahi kabisa kupiga puchu hata mara moja katika maisha yake. Lakini hii haileti maana kwamba mwanaume huyu ana shida kisaikolojia wala kiafya kwa kutojaribu 'mastabashen'. Labda ni kawaida sana kwa baadhi ya jamii kutojihusisha na jambo hili kuliko wengi tunavyojua.
Baadhi ya watu mahitaji yao ya kingono yapo chini so wanaona muda mwingine sio dili. Hii ni jambo zuri ikiwa hivyo.
-: Nashindwa kuelewa ilikuwaje ukajua kwamba ukishika ile nyama na kusugua sugua unapata utamu??[emoji1][emoji1]