Thread......Jinsi nlivyoanza punyeto ( kujichua)
Nlianza mchezo huu 24 dec 2012, kuna jamaa angu kipind hicho kwao kulikuwa na mpangaji akamfundisha kupiga nyeto, na unaambiwa huyo jamaa alikuwa anapiga nyeto mpaka sperm zinaisha unaanza kutoka upepo[emoji3][emoji3], back to story jamaa alivyonielekez maswala ya nyeto nikaamua nijaribu diu nlipata msisimko mkubwa nkawa natamani kila mda nifanye hivho kitu , ikawa kama tabia yangu kila nkimuona mwanamke tu nkirudi nyumbani lazima nimvutie hisia ili nipige nyeto, pia kuna kipindi nlikuwa napiga ata bao 7 kwa siku mpaka nikishika uume naskia maumivu, sasa baad ya kupiga kwa miaka 12 na miezi kadhaa nliamua kuacha kwasababu nlianza kuona madhara kama uume kuwa mdogo, kutoluwa na hamu na wanawake, kuwa mvivu/ kutokupenda kazi, kutumia gharama kubwa kununua bado ( kuna kipindi nlikuwa natumia at Bando la wiki kwa siku moja kuangalia porn) kutamani kuwa peke angu mda mwingi, na kupiga kimoja au viwili kinyonge,
Sas hiv nlianz program ya mazoezi naona hata urefu wa mtulinga unarudi, naanz at kutongoz wanawake ( zaman at kam dem namtongoza lazim nimshughlikie kwanz hvy at akikubali nakuwa sin hisia nae),
Punyeto na uraibu wowote unaweza kujitoa asikudanganye mtu