Sasa mkuu hili tatizo lako ni sugu, unatakiwa kujiandaa kisaikolojia kwanza
 
Mimi namshauri aachane kabisa na jambo linaloitwa punyeto. Madhara ya punyeto baadaye ndiyo kama hayo. Lakini usiwe na shaka unaweza kurudi vizuri kwa kuchukua hatua ya kuachana na punyeto na kuweza kutafuta lishe nzuri ya kufanya urudi katika hali ya kawaida. Mojawapo ya lishe nzuri sana ni REVIVE. Hii ni mojawapo ya products muhimu zilizoandaliwa kiasilia na zisizokuwa na madhara kiafya. Fuatilia maelezo muhimu kwa ajili ya hizi products.

MAGILIM

Inatokana na majina ya Magic-Slim, jina hili likabadilishwa na kuitwa Magilim.
Imetengenezwa kwa mimea kadhaa, mimea hiyo ni;

  • Seamen cassie
  • Cassia bark
  • Mullberry leaver
  • Fago fyrum tataricum
Ikiingia katika utumbo mdogo huyeyuka kuwa ute ute na gel husaidia kugandisha mafuta uliyokula ili yasitumike mwilini, na kufanya mwili kutumia mafuta yaliyoko wilini tu, hivyo kusaidia kupunguza mwili na uzito.
Ikiingia kwenye utumbo mkubwa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na chumvi chumvi zake.
Ini huwa inavunjavunja mafuta na kutengeneza;

  • Maji ya nyongo
  • Nguvu ya mwili(glucose)
  • Uric acid
Magilim ukiinywa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na mafuta, pia husaidia kwenda kwenye damu kutoa sukari na uchafu kupitia kwenye figo.
Matokeo yake mwili hukosa nguvu kwa kutoa sukari na mafuta, kugandishwa pamoja na maji ya nyongo kwenye utumbo mkubwa na mdogo.
Kufanya mwili kulazimika kutafuta nguvu kwenye hifadhi zake, sehemu zenye mafuta mfano kitambi, ------ na mikononi wanawake. Wanaopunguza unene na uzito hivyo mwili unatengeneza kemikali inayosaidia kutoa mafuta kwenye mwili na yanasafirishwa na damu kupelekwa kwenye ini pale ambapo ini huvunjavunja yale mafuta na kutengeneza vitu vitatu; maji ya nyongo, nguvu ya mwili ana uric acid. Wakati huo maji maji ya nyongo yanazidi kugandishwa na mafuta kwenye utumbo mkubwa na mdogo.

  1. Uric acid na sukari inatoka kupitia figo kwenye mkojo na kufanya mwili unazidi kutoa mafuta kwenye hifadhi zake mwilini na kufanya mtu azidi kupungua(kukonda).
Magilim inasaidia kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu na kuzuia mwili kunyonya vyakula vya wanga kwenye utumbo mdogo na kutoa sukari kwenye damu kupitia figo, huleta faida kwa wagonjwa wa kisukari na wale wanaotaka kujizuia kupata matatizo ya sukari.
Magilim ikiwa kwenye ute ute(gel) kwenye utumbo inasaidia kusafisha utumbo mkubwa na mdogo na kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula.

KAZI YA MAGILIM

  • Kupunguza uzito na unene
  • Kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu
  • Kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula
  • Inapunguza uwezo wa mwili kunyonya lishe
  • Kutoa sumu mwilini
  • Kutoa chunusi mwilini
  • Kutibu matatizo ya tumbo

WASIOPASWA KUTUMIA

  • Wajawazito
  • Wanaonyonyesha
  • Wagonjwa waliodhoofika sana mfano ukimwi, saratani, kifua kikuu, malaria, kisukari n.k
  • Watoto chini ya miaka 14

REVIVE

Bidhaa hii imetengenezwa na mimea aina mbili ambayo ni Epim-edium na Gin-sen. Bidhaa hii inawasaidia sana wanaume kuamsha hisia za mapenzi na kudumisha msisimko.

KAZI YA REVIVE

  • Kuongeza libido(ashiki au nyege)
  • Kutibu impotence(mahanisi)
  • Kuongeza muda wa uhai wa mbegu za kiume zinapotoka nje, zinatakiwa ziishi katiak joto 37’’C.
  • Kuweka mwili katika hali ya hisia ya kawaida
  • Kutibu maumivu ya kiuno
  • Kuchelewa kumwaga mapema(kufika kileleni)
  • Kutibu kutanuka kwa kibofu cha mkojo na kuzuia uwezekano wa kupata saratani ya kibofu cha mkojo.
  • Inaimarisha usafirishaji wa damu mwilini
  • Pia inasaidia kwa wenye pressure ya kushuka
  • Kuboresha utendaji wa tendo la ndoa


CA + FE + ZI PLUS

  • CA – Madini ya Chokaa
  • FE – Madini ya Chuma
  • ZI – Madini ya Zinki

FAIDA ZA MADINI YA CHOKAA

  • 5% ni uzito wa mwili wa binadamu na ni 2% ya uzito wa binadamu ni madini ya chokaa.
  • Madini ya chokaa yanaimarisha mfumo wa kinga mwilini
  • Madini haya yanasaidia utendaji wa kazi mwilini
  • Madini ckokaa yanaimarisha mishipa ya hisia na ubongo
  • Madini chokaa yanasaidia kugandisha damu mtu anapopata majeraha

FAIDA ZA MADINI CHUMA

  • Hutumika kutengeneza damu hasa Red blood cells ambazo husafirisha oxygen
  • Huimarisha mfumo wa mishipa ya hisia mwilini
  • Huongeza uwezo wa kufikiria na nguvu ya ubongo kwa binadamu
  • Huongeza nguvu mwilini

FAIDA ZA MADINI YA ZINKI

  • Inaimarisha mfumo wa uzazi kwa wanaume
  • Inaimarisha milango ya fahamu
  • Kutibu vidonda vya ndani na nje wa binadamu
  • Inatunza ngozi na kulinda ngozi na nywele
  • Inaondoa matatizo ya macho.


Kwa mawasiliano zaidi: 0776491294, ishealthy@hotmail.com
Gharama za MAGILIM=62500/-
REVIVE=60500/-
CA+FE+ZI Plus=51000/-
 

Attachments

  • MAGILIM.jpg
    15.2 KB · Views: 509
  • REVIVE.jpg
    13.9 KB · Views: 215
achaaaa!!! nyeto tamu ww usipime!!!
hakuna uhusiano na boding wala kuwa na demu! ni kitu inajitegemea na feelings zake si mchezo!!!
usiache ila mwambie mwenzio na ukiweza uipige kwa uhuru na furaha, CONQUER YOUR THIRST
 


ulichokisema Mkuu ni kweli kabisa
mimi nilifanya hako ka machezo kwa miaka 6 na baada ya kufika miaka 3 nilitaman sana kuacha nikwa nafanya
mara moja moja sana saa ingine nakaa wiki moja!
Baada ya kufika sasa mwaka 5 nilinza mchezo na videmu lkn tatzo la kuwah kufika kilelen
likaanza kunicost mpka kufikia msichana wa mwisho kabla sjao huyu niliyenae tayar automatc nilikuwa nilianza kuchukia huu mchezo na kuanza kutafuta tiba na kuuchukia kabisa na wala nilikuwa staki kuusikia hata mtu anayesema hawez kuacha au anayeanza huwa namuonea sana huruma
kilichonisaidia nilikuwa sina kiasi yaan mroho wa kufanya mapenz kwahiyo nilikuwa nikikamata demu
cha 1 nawahi kufika cha 2 na cha 3
anaomba poo!!
Kwahiyo nikisikia mtu anasema anapiga ki1 arafu anawahi kumwaga then hasimamish tena inalala doro huyu tafuten mmbadala wake kwakweli!!!
 
Nikupe pole sana..lkn sio kama hivyo misuli imechoka na haswa kwa mazoea ya kupga nyetp bao moja kisha huendelei sasa hapo kisaikojia pameathilika na namna tendo linavyofanyika. Mi msaada wangu kwako ni huu
..kula msosi wa kutosha kabla ya kujamii na mkeo, fanya mazoezi mara kwa mara., pia zingatia aina ya vyakula pendea kula kwa wingi jamii ya nafaka kama karanga, korosho kwa ajili ya kuongeza ashki.
Usiache kula tikiti maji, papai na parachichi daily...ukifanya hivi man kwa muda mfupi tu utaona changes za nguvu na utaenjoy game vere well.!
 
hiii kitu me nimeanza kupga toka darasa la saba na sahv nko chuo mwaka wa tatu ila sion kama inamadhara, maana nikikutana na dem mpango unakuwa poua xo nadhani jamaaa endeleza hii kitu itakupunguzia mawazo,gharama,kupoteza muda na usumbufu wowote toka kwa madem
 
Unakojoa haraka kwa sababu hujawahi kutana na hiyo kitu hivyo akili inachanganyikiwa.

Next time piga punyeto ukojoe kabla hujakutana na demu wako halafu paka mchina. kesho utakuja nisimulia, manake mtaa mzima watajua mkuu uko kazini
 

Pole mwenzetu kwa kuota nywele mikononi mithali ya gorilla, maana unaambiwa mchapa nyeto utamjuwa tu kwa kuwa na nywele kibao mikononi (viganjani). Hivi ulikuwa unashuka vingapi kwa siku mpaka ukawa mdhaifu kihivyo? Je, kule shuleni mlikuwa na mashindano ya kupiga nyeto? Sasa iweje mwenzetu umeathiriwa kihivyo?
 
MUNGU Wangu SOMETIMES anaweza kuvaa condom!
 
toa mafikilio ya utamu wakati unafanya mapenzi.
dada white umemaliza kazi, asiendelee tena kusoma thread za ushauri!!
Hii ndio dawa pekee hakuna nyingine....................sexual intercourse to ejaculation time ni swala la hisia tu hakuna uchawi mwingine!! Hata km anataka asikojoe masaa 4 mfululizo na zaidi anaweza, ili mradi tu afanye tight control ya hisia zake kwenye tendo!! bhaaaaaaaaaaaaassssssssssssssssss!!!!

Thx!!
 
Last edited by a moderator:

msaidie usimvunje moyo...............pale ana wakati mgumu sana, wanaume wanaelewa vizuri!!
Just soma story yake..........yaani ndo the first time anadu halafu inakuwa majanga, ila pia kaepuka mengi kwa mfano uzinzi angali mdogo na pengine imemsaidia kutulia na shule!!

You know what most men almost 90% wamewah kupitia punyeto time............yawezekana ww, mm na yule hawajawah kupitia ila yawezekana pia yule na wengne wamewahi kupitia..........who knows?!

Ahsante!!
 

Ushauri mzuri mkuu. Ila kama akiwazia madeni si mpenziwe ataona kabisa hawavi pamoja???
 

umetisha hakuna cha kuongezea hapo haya kijana kazi kwako halafu hivi vimchezo vyenu vya punyeto acheni oooh! Haya
 
Unazidi kujiharibu kwa negative thoughts zako.
Punyeto mi nimepiga sana, tena hata leo nimetoka vibao vyangu vinne tu.
Wee amini kwamba unaweza kulast muda mrefu kwenye game thats all, na pia ukiwa unamsugua huyo dadalao, uwe unaona kama unataka kufumaniwa vile, au uwe unajijengea mapicha ya kutisha tisha, utajikuta umeenda hadi dakika ya kumi na saba, muda ambao ni mzuri kabisa kwa kumfikisha mwenzako LYAMBA LYA MFIPA.
Pia ikiona unataka kumimina lava, chomoka, mchezee mwenzio, mzuka ushuke, kisha change stle.
Kwa mambinu zaidi njoo chuoni kwangu, pale Mwananyamala
 

ila jamaa umesema ukwel, acheze na hisia mm nahakikisha shemejio kafka ndo ananitafuta na mie
 
Fanya kegel's exercise (hebu google).
Lakini kwa ajili ya kutomzoea, inaweza kutokea. Relax, jipe muda. Shukuru Mungu unafika kilele, kuna matatizo humu mjini?
King'asti una visa wewe!,Mungu umemfanya kama mama ntilie.Yaani uzinzi na uzinifu unashauri ashukuru Mungu,u crazy.Jamaa naye ana pepo la uasherati tangu darasa la sita unaanza kupiga nyeto? ,umenifanya nishangae sana.Mie nimepiga shule zote o na A C education na vimwana bomba lakini sikuwahi kupiga nyeto wala kugonga na tulikuwa tunasoma na mabinti bomba tu.Jiangalie vizuri una pepo la uzinzi siyo bure
 
Last edited by a moderator:
Mi natatizo la kuchelewa kufikia lengo. Sometymz mpaka nafumaniwa. Bro naomba tubadilishane ugonjwa kama vp.
 
Piga nyeto kwa afya ila wewe umezidi miaka yote hiyo hujagusa mbunye halafu unataka uwe fit kivipi!?
 
Bujibujinimekusoma mkuu nina mwanafunzi wangu nitakuletea umpe hiyo shule.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…