Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Jamani naomba msaada wenu ,nlianza punyeto toka niko secondari mpaka sasa hivi nko chuo na nikisex na mwanamke sisikii raha kama punyeto,naombeni msaada wenu nataka kuacha
 
Hiyo kitu ikikuingia ni vere adiktiv,..unaweza ukamwacha wife kitandani ukaingia bafun kupiga kimoja.

Ushauri: Usiache in one go...punguza dozi taratibu mkuu.
 
pole sana kijana,ila unaweza ukaliacha tatzo hilo,jitahidi kupunguza idadi ya mastarbatn kwa siku,pole pole utaepukana na hlo tatzo,nakushauri piga mara zisizozidi kumi na tano kwa siku,mara wiki,utaona mabadiliko.
 
Punguza men. Mi nlikuwa napiga mara 3 mpaka nne kwa siku. Nilipofika chuo nikaanza kupungukiwa nguvu za kiume. Nikaamua kuanza kuacha taratibu bt ilikuwa ni ngumu sana coz nilikuwa nshajenga uraibu ktk ku2mia nyeto. Nimepata tabu sana kupunguza, saiv napiga mara moja moja. Mara nyengine napita mwezi bila nyeto na sometym naweza piga mara 3 kwa mwezi. Inahitaji jitihada kubwa kuacha punyeto coz addiction(uraibu) yake ni kama wa cocaine. Wish u all the bests ktk jitihada hizo. Remember, "Failure is not fatal bt failure to change can be"
 
Ili tuweze kuongezeka inatubidi tuzaliane kama viumbe wengine, na hatuwezi tu kuzaliana bila ya kujamiiana, na hatuwezi kujamiiana bila ya kuwa na hisia zitakazotupelekea kufanya kitu kama hicho. Katika maumbile ya mwanadamu hupata hisia hizo anapofikia umri wa kubalehe na ndio hapo huanza kuona mambo mageni kiasi cha kumfanya ajione tofauti na wengine hata kama nao walishapitia hatua kama hiyo.

Katika hatua hii ndio mbegu za uzazi (Sperms) zinaanza kutengenezwa na kukomazwa, hali inayomfanya mtu kuwa na hisia za kutaka kuwa na mwenzake (Girlfriend) ili atimize haja zake. Kwa asilimia kubwa ya vijana wa sasa hujichua ili kuondoa hisia hizi pale wanapokosa wapenzi, na imeathiri vijana wengi sasa bila ya wao kujua.

Kitendo hiki cha kujichua kinachojulikana kama "Kupiga punyeto” in English "Masturbation” huleta madhara ya muda mrefu ambayo ni vigumu mtu kugundua. Hebu tuangalie baadhi ya madhara ya kitendo hiki:


  1. Upungufu wa nguvu za kiume.
Hili ni tatizo linalowakabili watu wengi sana na hili pia hutokana na watu hao kuwa na mchezo wa kupiga punyeto hapo awali au hata muda huu. Na hivyo hukosa nguvu za kiume na kuwafanya wakose heshima ndani ya ndoa.


  1. Kutofurahia tendo la ndoa.
Kumbuka kuwa unapopiga punyeto unatumia mkono ambao unapewa amri na ubongo ya kufanya kile ambacho nafsi itaridhika, hivyo lazima utatumia nguvu nyingi za mkono kwa kadiri ya matamanio ya nafsi yako yanavyohitaji hali itakayopelekea kutofurahia tendo la ndoa kwani hapo utakuwa hutumii mkono bali ni kiungo kingine ambacho hukiamrishi wewe kufanya vile utakavyo.


  1. Madhara ya ndani ya sehemu za siri.
Kitendo cha kupiga punyeto hutumia sabuni ambayo ina kemikali, hivyo kitendo cha kusugua sugua kwa kutumia sabuni huifanya ipenye ndani au kwenye vitundu vidogo vya ndani ya ngozi na kuweza kukusababishia madhara mbalimbali. Ni wachache sana ambao hawatumii sabuni lakini bado haina faida kwani huweza kupata athari kwa sababu zingine.


  1. Kupunguza uwezo wa kufikiri.
Wafanyao kitendo hiki hutumia nguvu nyingi za akili kuwaza kuwa yuko na fulani kumbe sio kweli, yeye yuko peke yake bafuni na sabuni yake tu. Hali hii huumiza sana akili kwani ni kitendo cha kila siku na kwa vijana wengine hufanya mara mbili au zaidi kwa siku kutegemea na hisia zake, hivyo akili huchona na uwezo wa kifikra unapungua kwa kiasi kikubwa sana.

thinking_IQ.jpg


  1. Kukosa nguvu katika magoti.
Kufanya sana kitendo hiki hupunguza mafuta yalio katika viungio vya magoti na kufanya magoti kukosa afya na nguvu.

Unaweza kujiuliza sasa kama ni kijana ufanyeje ili uepukane na hili? Na je? Utadhibiti vipi hisia zako? Ni rahisi sana fanya haya yafuatayo:


  1. Jiweke busy na masomo yako kwani ndiyo wakati wake huu na sio kufuata au kufikiria juu ya matamanio. Kumbka kuw amatamanio hayawezi kuja tu ikiwa utayapuuza na kujali mambo mengine ya muhimu kulingana na wakati wako.
learning_busy.jpg




  1. Fanya sana mazoezi ya kuuchosha mwili kama vile kukimbia, kuruka kamba, kucheza mpira, basketball, karate na mengineyo ambayo yatakuchosha na kukutoa jasho kila siku kwa mpangilo maalumu.


running_exercise.jpg




  1. Epuka kukaa peke yako bila kazi yoyote kwani kutakufanya ufikirie matamanio kwani ndio jambo linalotawala fikra za vijana.


think_love.jpg




  1. Acha kula hovyohovyo bila sababu maalum na hasa epuka sana kula vyakula vya mafuta mafuta kwani hivi hutengeneza mbegu za kiume kwa kasi kubwa sana.


too_much_eating.jpg




  1. Tumia muda wako wa free kupumzisha akili yako kwa kulala.


sleeping.jpg




  1. Jitahidi kutokukaa bafuni kwa muda mrefu bil aumuhimu wowote na epuk akujisugua au kujishika sana sehemu za siri wakati wa kuoga.

Jitahidi ubadilike na fahamu kwamba kufanya hivyo kukiendelea sana kwako itakuwa tena sio mazoea bali ni tabia na siku zote mazoea hujenga tabia, utajikuta huachi hata kama utampata wa kukutimizia haja zako (Mke) kwani hutoridhika naye kwa athari ya mkono wako.

Fahamu pia kuwa kutafuta msichana (Girlfriend) sio njia sahihi kwani ndiyo sababu ya kuharibu jamii kwa kuwaharibia maisha yao kwa kuwapa ujauzito wakiwa mashuleni, kusambaza maradhi na kuleta watoto wa mitaani (Street Children).

Njia sahihi ni kama tulizozitaja hapo juu. Soma kawa bidii, Jali muda wako na kuwa makini sana. Utapata kazi nzuri,utampata akupendaye mkaridhiana, mkaoana na kujenga familia iliyo bora kabisa ambayo hata mungu ataipenda na kuibariki.

original from: MADHARA YA KUPIGA PUNYETO (MASTRUBATION) - AFYA <!--if()-->- <!--endif--> - Publisher - Staryte
 
sent and delivered :A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
 
sidhani labda kwa indirect way kama vile ukosefu wa nguvu za kiume na mambo mengine.
 
acheni kutudanganya ponyeti haina tatizo lolote kwanza ni njia salama kabisa halafu unajijua ujiguse wapi ili ufike kileleni hivi juzi tu nilikua nasikiliza bbc katika kipindi cha kimaso maso hilo suali liliulizwa je ponyeti ina madhara yoyote dokta alijibu kua hakuna madhara yoyote yanayo patikana ila inategemea ni kitu gani umetumia wakati wa iyo ponyeti umetumia sabuni au mafuta au lotion kama mimi hua natumia baby oil mpaka nafika kileleni safi kabisa njia salam kabisa msije mkataka kututisha bure.
 
acheni kutudanganya ponyeti haina tatizo lolote kwanza ni njia salama kabisa halafu unajijua ujiguse wapi ili ufike kileleni hivi juzi tu nilikua nasikiliza bbc katika kipindi cha kimaso maso hilo suali liliulizwa je ponyeti ina madhara yoyote dokta alijibu kua hakuna madhara yoyote yanayo patikana ila inategemea ni kitu gani umetumia wakati wa iyo ponyeti umetumia sabuni au mafuta au lotion kama mimi hua natumia baby oil mpaka nafika kileleni safi kabisa njia salam kabisa msije mkataka kututisha bure.

kwanza hamu ikikolea inatoa udenda automatic...huo unatosha kukamulia...eboo...
 
mie siku hizi nimepunguza sana napiga mara moja kwa mwezi sio mbaya, hii ni njia salama kabisa

0% mimba
0% sti
0% hiv
100% available (as long as u have tools, imean vaseline etc na quiet place) hutaambiwa na mtu leo niko siku zangu, leo sijisikii, leo sikupi.
 
Ndugu yangu unaongelea punyeto ya mwaka 86 au? Mambo yamechange...
1. sasa ivi watu wanapunyetoka kwa mafuta special ambayo hayana Madhara ya ndani ya sehemu za siri
2. Hauhitaji kumfikiria mtu kwa sababu kuna porno kibao ivyo hakuna Kupunguza uwezo wa kufikiri.
3. sperm zinazalishwa kila siku sasa sielewi izo nguvu za kiume zinapunguaje.. hayo ni matatizo binafsi 4. kukosa nguvu kwenye magoti iyo inatokea kwa wapenda kugegedana woteee na sio tatizo la kwenye punyeto tuu.
kwa sasa punyeto ni salama kuliko ngono.. ivyo ni bora kumuelimisha kijana namna ya kupiga nyeto vizuri na sio kumdiscourage..
 
Back
Top Bottom