Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Habari wana Jf!
Mimi ni kijana wa miaka 23.
Nimekuwa na tabia ya kupiga punyeto toka nikiwa na miaka 12;ni tabia inayo nikera kwa kweli,lakini nimejitahidi kuacha,nashindwa.
Yaani,naweza kujizuia kwa wiki mbili au tatu,lakini baada ya hapo najikuta nimepiga tena!
Naombeni ushauri wa kitaalamu wa jinsi ya kuacha hii kitu!
NOTE:SIJAWAHI KUFANYA NGONO NA MSICHANA TOKA KUZALIWA,NA SITAKI KUFANYA NGONO HADI PALE NITAKAPO OA.
Ahsanteni kwa ushauri constructive.

Habari yako! Swala hilo limezungumziwa sana. Na hauko peke yako, nakuhakikishia kwamba wapo wengi tu wanao kumbwa na jambo kama hilo.

Ni imani yangu kwamba huwezi kuacha punyeto bila kuwa na mbadala wake(hii ndio imani yangu) niki ongea kutokana na uzoefu WANGU MWENYEWE! kwani miaka flani ya balehe huko nyuma niliwahi kujihusisha na hiyo kitu. Na nilitamani kuacha kama ww unavyo tamani sasa. Lakini iliniwia vigumu. Ndipo kwa nia ya dhati nikajichimbia kwenye mitandao mbalimbali kwa lengo la kujua yapi madhara ya punyeto.

Kusema ukweli nilipata hofu ambayo ingenikuta hasa baada ya kuingia kwenye mahusiano ya kimapenzi. Moja ya madhara niliyo yaona ni kuwahi kufika kileleni wakati wa tendo la ndoa. Na ilifikia hatua ngono ikawa kama adhabu kwangu coz kila nilipokuwa nikikutana na msichana lilikuwa GOLI MOJA TENA NDANI YA DAKIKA MOJA. Kuendelea sikuweza tena. Swala hilo lili niumiza. Ndipo nikakutana na Dr mmoja anaitwa Dr Nelson Paul alikuwa anafanya kipindi kwenye radio moja jijini Mwanza kinacho itwa Usiku wa mahaba(kwa sasa sina habari zake) alinijenga kisaikolojia.

Usipende kuangalia picha za x kama ni moja ya vitu unavyo penda

Jaribu kuepuka mazingira yanayo kushawishi kufanya hivyo

Uwe mtu wa mazoezi ji keep busy na vitu anuai

Wazo lako la kusubiri mpaka uwe na mke ni zuri(lakini ninge recomend utafute msichana japo ujue perfomance yako ikoje mpaka sasa) naamini unaweza kupata mwafaka. Mimi nilipo shindwa kumfikisha binti wa watu kileleni ndipo nilipata hasira na chuki dhidi ya punyeto. Na ilinisaidia kuacha. Kwa sababu sikupenda kupata aibu tena au kuja kumuumiza mke wangu. THE CHOICE IS YOURS. Asante kwa kuchukua muda wako kusoma andiko langu.
 
Miaka 23 unataka kustaafu!mbona bado kijana sana!any way fuata ushauri wa mkuu Mr Q hapo juu,acha kuangalia video na picha mnato za X.
 
Last edited by a moderator:
Habari yako! Swala hilo limezungumziwa sana. Na hauko peke yako, nakuhakikishia kwamba wapo wengi tu wanao kumbwa na jambo kama hilo. Ni imani yangu kwamba huwezi kuacha punyeto bila kuwa na mbadala wake(hii ndio imani yangu) niki ongea kutokana na uzoefu WANGU MWENYEWE! kwani miaka flani ya balehe huko nyuma niliwahi kujihusisha na hiyo kitu. Na nilitamani kuacha kama ww unavyo tamani sasa. Lakini iliniwia vigumu. Ndipo kwa nia ya dhati nikajichimbia kwenye mitandao mbalimbali kwa lengo la kujua yapi madhara ya punyeto. Kusema ukweli nilipata hofu ambayo ingenikuta hasa baada ya kuingia kwenye mahusiano ya kimapenzi. Moja ya madhara niliyo yaona ni kuwahi kufika kileleni wakati wa tendo la ndoa. Na ilifikia hatua ngono ikawa kama adhabu kwangu coz kila nilipokuwa nikikutana na msichana lilikuwa GOLI MOJA TENA NDANI YA DAKIKA MOJA. Kuendelea sikuweza tena. Swala hilo lili niumiza. Ndipo nikakutana na Dr mmoja anaitwa Dr Nelson Paul alikuwa anafanya kipindi kwenye radio moja jijini Mwanza kinacho itwa Usiku wa mahaba(kwa sasa sina habari zake) alinijenga kisaikolojia. Usipende kuangalia picha za x kama ni moja ya vitu unavyo penda Jaribu kuepuka mazingira yanayo kushawishi kufanya hivyo Uwe mtu wa mazoezi ji keep busy na vitu anuai Wazo lako la kusubiri mpaka uwe na mke ni zuri(lakini ninge recomend utafute msichana japo ujue perfomance yako ikoje mpaka sasa) naamini unaweza kupata mwafaka. Mimi nilipo shindwa kumfikisha binti wa watu kileleni ndipo nilipata hasira na chuki dhidi ya punyeto. Na ilinisaidia kuacha. Kwa sababu sikupenda kupata aibu tena au kuja kumuumiza mke wangu. THE CHOICE IS YOURS. Asante kwa kuchukua muda wako kusoma andiko langu.
mkuu ujue mimi huwa siwaelewi mnaposema eti unakuwa unawahi kupiga bao kisa punyeto hapana bana mi nakataa.... nimepiga punyeto kwa miaka 14 mpka sasa lakini naomba nikuhakikishie wasichana kama watatu niliokutana nao wote huwa wananikubali kwenye game.... namaanisha wanalidhika mpka wanasema basi imetosha na wakati huo wanasalender mimi nakuwa ndio kwanza hata cjapata moto
 
Habari wana Jf!Mimi ni kijana wa miaka 23.Nimekuwa na tabia ya kupiga punyeto toka nikiwa na miaka 12;ni tabia inayo nikera kwa kweli,lakini nimejitahidi kuacha,nashindwa.Yaani,naweza kujizuia kwa wiki mbili au tatu,lakini baada ya hapo najikuta nimepiga tena!Naombeni ushauri wa kitaalamu wa jinsi ya kuacha hii kitu!NOTE:SIJAWAHI KUFANYA NGONO NA MSICHANA TOKA KUZALIWA,NA SITAKI KUFANYA NGONO HADI PALE NITAKAPO OA.Ahsanteni kwa ushauri constructive.
Nyie vijana mnatudhalilisha sisi wasichana na mb,unye zetu kwa kuendekeza huo ujinga.kwa kukusaidia paka pilipili kwenye mikono ya kupigia hiyo punyeto kisha piga hiyo punyeto huku unaimba 'punyeto byeex4" hii njia tunaitumia hata sisi wamama kuwafanya waache kunyonya maziwa yetu.
 
Habari wana Jf! Mimi ni kijana wa miaka 23. Nimekuwa na tabia ya kupiga punyeto toka nikiwa na miaka 12;ni tabia inayo nikera kwa kweli,lakini nimejitahidi kuacha,nashindwa. Yaani,naweza kujizuia kwa wiki mbili au tatu,lakini baada ya hapo najikuta nimepiga tena! Naombeni ushauri wa kitaalamu wa jinsi ya kuacha hii kitu! NOTE:SIJAWAHI KUFANYA NGONO NA MSICHANA TOKA KUZALIWA,NA SITAKI KUFANYA NGONO HADI PALE NITAKAPO OA. Ahsanteni kwa ushauri constructive.
Bwana mdogo, hayo ni mapepo.unamilikiwa na mapepo,majini mahaba.Tafuta huduma ya kiroho yenye nguvu ufunguliwe.unaweza dhani ni matatizo ya kisaikolojia ama hivi ama vile but believe you me, you have been possessed by demons.Ni Yesu Kristo peke yake ndio anaweza kukufungua na kukuweke huru..., ndio maana unaseme "unajitahidi wiki hata mbili..,lakini unaanguka tena.." Yeye (Yesu) akikuweka huru, unakuwa huru kweli kweli. Ubarikiwe.
 
mkuu ujue mimi huwa siwaelewi mnaposema eti unakuwa unawahi kupiga bao kisa punyeto hapana bana mi nakataa.... nimepiga punyeto kwa miaka 14 mpka sasa lakini naomba nikuhakikishie wasichana kama watatu niliokutana nao wote huwa wananikubali kwenye game.... namaanisha wanalidhika mpka wanasema basi imetosha na wakati huo wanasalender mimi nakuwa ndio kwanza hata cjapata moto

Basi utakuwa na bahati! Ila ukiangalia shuhuda za walio wengi watakueleza kwamba punyeto ikizidi basi nguvu za kiume hupungua.Sasa kama mtoa mada mpaka miaka hiyo hajashiriki ngono si unaona itamuwia vigumu katika mambo ya kimapenzi? Na ukumbuke umapo piga punyeto unatumia viganja vya mikono. Ambavyo ki uhalisia si laini kama ukeni. So unapo gusa nyama za uke na ile mucus fluid ndo unajikuta linakuja swala la tHE POINT OF NO RETURN.
 
Nyie vijana mnatudhalilisha sisi wasichana na mb,unye zetu kwa kuendekeza huo ujinga.kwa kukusaidia paka pilipili kwenye mikono ya kupigia hiyo punyeto kisha piga hiyo punyeto huku unaimba 'punyeto byeex4" hii njia tunaitumia hata sisi wamama kuwafanya waache kunyonya maziwa yetu.

Are you serious dada white?
 
Last edited by a moderator:
Habari yako! Swala hilo limezungumziwa sana. Na hauko peke yako, nakuhakikishia kwamba wapo wengi tu wanao kumbwa na jambo kama hilo.

Ni imani yangu kwamba huwezi kuacha punyeto bila kuwa na mbadala wake(hii ndio imani yangu) niki ongea kutokana na uzoefu WANGU MWENYEWE! kwani miaka flani ya balehe huko nyuma niliwahi kujihusisha na hiyo kitu. Na nilitamani kuacha kama ww unavyo tamani sasa. Lakini iliniwia vigumu. Ndipo kwa nia ya dhati nikajichimbia kwenye mitandao mbalimbali kwa lengo la kujua yapi madhara ya punyeto.

Kusema ukweli nilipata hofu ambayo ingenikuta hasa baada ya kuingia kwenye mahusiano ya kimapenzi. Moja ya madhara niliyo yaona ni kuwahi kufika kileleni wakati wa tendo la ndoa. Na ilifikia hatua ngono ikawa kama adhabu kwangu coz kila nilipokuwa nikikutana na msichana lilikuwa GOLI MOJA TENA NDANI YA DAKIKA MOJA. Kuendelea sikuweza tena. Swala hilo lili niumiza. Ndipo nikakutana na Dr mmoja anaitwa Dr Nelson Paul alikuwa anafanya kipindi kwenye radio moja jijini Mwanza kinacho itwa Usiku wa mahaba(kwa sasa sina habari zake) alinijenga kisaikolojia.

Usipende kuangalia picha za x kama ni moja ya vitu unavyo penda

Jaribu kuepuka mazingira yanayo kushawishi kufanya hivyo

Uwe mtu wa mazoezi ji keep busy na vitu anuai

Wazo lako la kusubiri mpaka uwe na mke ni zuri(lakini ninge recomend utafute msichana japo ujue perfomance yako ikoje mpaka sasa) naamini unaweza kupata mwafaka. Mimi nilipo shindwa kumfikisha binti wa watu kileleni ndipo nilipata hasira na chuki dhidi ya punyeto. Na ilinisaidia kuacha. Kwa sababu sikupenda kupata aibu tena au kuja kumuumiza mke wangu. THE CHOICE IS YOURS. Asante kwa kuchukua muda wako kusoma andiko langu.

Ahsante kwa ushauri mkuu Mr Q.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mrimi,simple like that,kuamua tu?
Nakuhakikishia nimetamani sana kuacha tabia hii chafu lakini nimeshindwa!
Tafadhali nipe hiyo namna ya kuacha please!

Nani kasema ni tabia chafu?

Just beware of chemicals, bhaaaasi! Otherwise na burudani iendelee...
 
Last edited by a moderator:
Ki ukweli hli swala lnaonysha kuwa ni pana sana hasa pale ambapo wataalam wnapokuja na majibu tofauti juu ya faida na madharaya punyeto na usgaji kwa wanaume na wnawake,hivyo 2naomba ma dr wa Jf tafadhali mje na majbu sahihi ili kuondoa utata huu kwani kutokana na maelezo haya kujitosheleza na amini kwa wengne ni changamoto na wengne ni kichocheo kwao.
Mkuu Daullah hayo yote uliyoyataja yana madhara kuliko faida zake ni ndogo madhara yake ni makubwa hakuna haj tena kulizungumzia hayo masuala wakati nimesha eleza kwa kirefu hapo juu upo pamoja na mimi mkuu?
 
Last edited by a moderator:
kaka ukisema punyeto basi inawezekana ni kwamba hujaamua fanya maamuzi hasa utaacha
Chamsingi punguzakuwaza ngono mda mwingi pia acha kuangalia mikanda na picha za ngono
 
Kuwa busy na mambo yako yote ya msingi kuliko kuwaza ngono, sidhani kama ukiutumikisha mwili wako kwa kazi na mazoezi bado utawaza punyeto, zaidi ya hapo ushauri wa mr Q ni mzuri sana utumie utakusaidia.
 
Nyie vijana mnatudhalilisha sisi wasichana na mb,unye zetu kwa kuendekeza huo ujinga.kwa kukusaidia paka pilipili kwenye mikono ya kupigia hiyo punyeto kisha piga hiyo punyeto huku unaimba 'punyeto byeex4" hii njia tunaitumia hata sisi wamama kuwafanya waache kunyonya maziwa yetu.

dada whiteebu niambie huyu anawadhalilishaje wanawake kwa kujipigia mapunyeto yake huko chooni kwake wanawake hapo wamedhalilishwaje??

mbona pia kuna idadi kubwa sana ya wanawake watumia midoli na wengine wanajipiga mavidole na wengine wanakulana wenyewe kwa wenyenye je na hao nao wanawadhalilisha wanaume??
 
Last edited by a moderator:
Habari wana Jf!
Mimi ni kijana wa miaka 23.
Nimekuwa na tabia ya kupiga punyeto toka nikiwa na miaka 12;ni tabia inayo nikera kwa kweli,lakini nimejitahidi kuacha,nashindwa.
Yaani,naweza kujizuia kwa wiki mbili au tatu,lakini baada ya hapo najikuta nimepiga tena!
Naombeni ushauri wa kitaalamu wa jinsi ya kuacha hii kitu!
NOTE:SIJAWAHI KUFANYA NGONO NA MSICHANA TOKA KUZALIWA,NA SITAKI KUFANYA NGONO HADI PALE NITAKAPO OA.
Ahsanteni kwa ushauri constructive.
Njoo private nikueleze dawa, lakini wala usijali , endelea kupiga nyeto , wala sio jambo baya ni salama zaid ya ku sex na mtu acha wakucheke, una weza wacheka wao baadae kama watakau wanaishi na virusi.
 
Dah.pole xana ila smetme hyo inahtaj kama n mkrsto au muislam jweke bze na ibada halaf pngza vyakula vnavyo7bsha kutman.
 
Back
Top Bottom