Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 18,046
- 38,598
Habari wana Jf!
Mimi ni kijana wa miaka 23.
Nimekuwa na tabia ya kupiga punyeto toka nikiwa na miaka 12;ni tabia inayo nikera kwa kweli,lakini nimejitahidi kuacha,nashindwa.
Yaani,naweza kujizuia kwa wiki mbili au tatu,lakini baada ya hapo najikuta nimepiga tena!
Naombeni ushauri wa kitaalamu wa jinsi ya kuacha hii kitu!
NOTE:SIJAWAHI KUFANYA NGONO NA MSICHANA TOKA KUZALIWA,NA SITAKI KUFANYA NGONO HADI PALE NITAKAPO OA.
Ahsanteni kwa ushauri constructive.
Habari yako! Swala hilo limezungumziwa sana. Na hauko peke yako, nakuhakikishia kwamba wapo wengi tu wanao kumbwa na jambo kama hilo.
Ni imani yangu kwamba huwezi kuacha punyeto bila kuwa na mbadala wake(hii ndio imani yangu) niki ongea kutokana na uzoefu WANGU MWENYEWE! kwani miaka flani ya balehe huko nyuma niliwahi kujihusisha na hiyo kitu. Na nilitamani kuacha kama ww unavyo tamani sasa. Lakini iliniwia vigumu. Ndipo kwa nia ya dhati nikajichimbia kwenye mitandao mbalimbali kwa lengo la kujua yapi madhara ya punyeto.
Kusema ukweli nilipata hofu ambayo ingenikuta hasa baada ya kuingia kwenye mahusiano ya kimapenzi. Moja ya madhara niliyo yaona ni kuwahi kufika kileleni wakati wa tendo la ndoa. Na ilifikia hatua ngono ikawa kama adhabu kwangu coz kila nilipokuwa nikikutana na msichana lilikuwa GOLI MOJA TENA NDANI YA DAKIKA MOJA. Kuendelea sikuweza tena. Swala hilo lili niumiza. Ndipo nikakutana na Dr mmoja anaitwa Dr Nelson Paul alikuwa anafanya kipindi kwenye radio moja jijini Mwanza kinacho itwa Usiku wa mahaba(kwa sasa sina habari zake) alinijenga kisaikolojia.
Usipende kuangalia picha za x kama ni moja ya vitu unavyo penda
Jaribu kuepuka mazingira yanayo kushawishi kufanya hivyo
Uwe mtu wa mazoezi ji keep busy na vitu anuai
Wazo lako la kusubiri mpaka uwe na mke ni zuri(lakini ninge recomend utafute msichana japo ujue perfomance yako ikoje mpaka sasa) naamini unaweza kupata mwafaka. Mimi nilipo shindwa kumfikisha binti wa watu kileleni ndipo nilipata hasira na chuki dhidi ya punyeto. Na ilinisaidia kuacha. Kwa sababu sikupenda kupata aibu tena au kuja kumuumiza mke wangu. THE CHOICE IS YOURS. Asante kwa kuchukua muda wako kusoma andiko langu.