Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi hata ugonjwa wa chabo nadhani dawa ni kupaka plpl jichoni kila mda unapopata hamu ya kupiga chabo
Chabo sio ugonjwa bali ni uraru ambao utakusababishia upige hio punyeto!
Kwa hivyo ili kuwa salama, fuata ushauri wa doctor MziziMkavu !
Tembea na pilipili kichaa mfukoni ! Just incase!!
Kupenda kupita kiasi itabidi ufanyiwe maombi Miss Xhahaha mzizi mkavu umenivunja mbavu, je kupenda kupita kiasi tutumie dawa gani, maana mimi imeniathiri pia.
Kupenda kupita kiasi itabidi ufanyiwe maombi Miss X
Mkuu Jerrymsigwa Kila kitu kipo hapa ukitaka Dawa yaDuh kumbe na maombi unatoa Mzizi?
Mkuu Jerrymsigwa Kila kitu kipo hapa ukitaka Dawa ya
kupunguza Unene,kitambi na uzito tembelea hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doct...to-wa-mwili-na-unene-na-mafuta-mwilini-5.html
Ukitaka dawa za kuongeza nguvu za kiume Tembelea hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawa-za-nguvu-za-kiume-kwa-anayetaka.html
Ukitaka Dawa ya kuongeza dushelele lako liwe kubwa tembelea hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doct...refu-na-mkubwa-dawa-imeshapatikana-krimu.html
Mkuu kahtaan kawaida tu usigope Mkuu.Mwalimu wangu unantisha kidogo kwa haya masomo yako!!
Basi hata ugonjwa wa chabo nadhani dawa ni kupaka plpl jichoni kila mda unapopata hamu ya kupiga chabo
jamani nishaurini jinsi yakuacha kupiga ounyeto/kujichua
nimeathirika kwakweli
nahisi uume unasinyaa unaku mdogo
Ditoxfication foods,
what foods are these?
Kwa mwanamme ukipiga bao mtalimbo lazima usinyae then watu wanatofautiana mda wa kurudia tendo wengine after 5min wengine 10mins wengine hata lisaa,nini kinasabisha mda kuwa tofauti? Mvuto wa m/ke,lishe etc
piga misosi yenye virutubisho, tengeneza saikolojia yako vizuri, sahau madeni utapiga mzigo mpaka mtu ataomba poo. mimi juzi nimekuta na kitu kipya nilifanya hivyo mpaka sasa nimejenga heshima, mnara ulikuwa unasimama hamna network kukata kitu nilijiunga kabang......