Punyeto ni nini na nini madhara yake?
hahaha mzizi mkavu umenivunja mbavu, je kupenda kupita kiasi tutumie dawa gani, maana mimi imeniathiri pia.
 
Basi hata ugonjwa wa chabo nadhani dawa ni kupaka plpl jichoni kila mda unapopata hamu ya kupiga chabo

Chabo sio ugonjwa bali ni uraru ambao utakusababishia upige hio punyeto!

Kwa hivyo ili kuwa salama, fuata ushauri wa doctor MziziMkavu !

Tembea na pilipili kichaa mfukoni ! Just incase!!
 
Last edited by a moderator:
Chabo sio ugonjwa bali ni uraru ambao utakusababishia upige hio punyeto!

Kwa hivyo ili kuwa salama, fuata ushauri wa doctor MziziMkavu !

Tembea na pilipili kichaa mfukoni ! Just incase!!

Hiyo dawa kali sana MziziMkavu, pilipili kichaa ni balaa, dah hiyo dawa inahitaj moyo!

Dawa ya nyeto nunua dildo tu unatembea nalo kwa bag, ukifeel tu hamu unaiweka kwenye umeme baasi mnamalizana tu kiroho safi
 
Last edited by a moderator:
Duh kumbe na maombi unatoa Mzizi?
Mkuu Jerrymsigwa Kila kitu kipo hapa ukitaka Dawa ya

kupunguza Unene,kitambi na uzito tembelea hapa
https://www.jamiiforums.com/jf-doct...to-wa-mwili-na-unene-na-mafuta-mwilini-5.html

Ukitaka dawa za kuongeza nguvu za kiume Tembelea hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawa-za-nguvu-za-kiume-kwa-anayetaka.html

Ukitaka Dawa ya kuongeza dushelele lako liwe kubwa tembelea hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doct...refu-na-mkubwa-dawa-imeshapatikana-krimu.html
 
Mkuu Jerrymsigwa Kila kitu kipo hapa ukitaka Dawa ya

kupunguza Unene,kitambi na uzito tembelea hapa
https://www.jamiiforums.com/jf-doct...to-wa-mwili-na-unene-na-mafuta-mwilini-5.html

Ukitaka dawa za kuongeza nguvu za kiume Tembelea hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawa-za-nguvu-za-kiume-kwa-anayetaka.html

Ukitaka Dawa ya kuongeza dushelele lako liwe kubwa tembelea hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doct...refu-na-mkubwa-dawa-imeshapatikana-krimu.html

Mwalimu wangu unantisha kidogo kwa haya masomo yako!!
 
nahisi uume unasinyaa unaku mdogo

Mkuu.
Adiction ya Puli na kutaka kupiga kila wakati...unaweza ukapiga hata mara 3 kwa siku..
Sasa ukisha kojoa..Dushelele linasinyaa kabisa..tofauti na ukigegeda,ukikojoa Mshedede hausanyai sana sababu ya kuendelea kumtaman umgegedae.
Sasa ukipiga puli...ukikojoa baaasi Kinanywea kabisa...na ukiwa unapiga mara kwa Mara itakuwa tepe tepe most of the time.
Jipe wiki moja...acha hiyo kitu...kula Dona na Maharage na Karanga Mbichi na Maziwa Daily... uone kama Dushelele litaendelea kuwa Nyonge
 
Dawa ya kuacha puli milele
" jizuie kwa siku 40 mfululizo ,baada ya hapo utashangaa kuona huna hamu kabxa na puli "
 
Kwa mwanamme ukipiga bao mtalimbo lazima usinyae then watu wanatofautiana mda wa kurudia tendo wengine after 5min wengine 10mins wengine hata lisaa,nini kinasabisha mda kuwa tofauti? Mvuto wa m/ke,lishe etc

well said
 
punyeto hai athiri watu wote mi huwa napiga punyeto bao la kwanza kabla ya kukutana na kidemu changu na sijaona madhara mpaka leo.
 
Hello Sirpartsons! Nimeona ukiulizia kuhusu kutaka kujua namna mtu anavyoweza kuondokana na shida baada ya kuwa hana uwezo wa kutosha kutokana na kuathirika na matumizi ya kujisaidia mwenyewe kwa kupiga punyeto. Kwa mtu mwenye tatizo kama hilo kwa uhakika wa kuweza kuondoa tatizo anatakiwa atumie lishe maalumu iliyoandaliwa kiasilia na isiyokuwa na madhara kiafya na iliyothibitishwa na mamlaka ya chakula na dawa Tanzania na pia iliyothibitishwa kutumika duniani kote na ambayo mpaka wakati huu imeshasaidia idadi kubwa ya jamii. Fuatilia kwa makini maelezo hapo hapo chini.

MAGILIM
Inatokana na majina ya Magic-Slim, jina hili likabadilishwa na kuitwa Magilim.
Imetengenezwa kwa mimea kadhaa, mimea hiyo ni;

  • Seamen cassie
  • Cassia bark
  • Mullberry leaver
  • Fago fyrum tataricum
Ikiingia katika utumbo mdogo huyeyuka kuwa ute ute na gel husaidia kugandisha mafuta uliyokula ili yasitumike mwilini, na kufanya mwili kutumia mafuta yaliyoko wilini tu, hivyo kusaidia kupunguza mwili na uzito.
Ikiingia kwenye utumbo mkubwa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na chumvi chumvi zake.
Ini huwa inavunjavunja mafuta na kutengeneza;

  • Maji ya nyongo
  • Nguvu ya mwili(glucose)
  • Uric acid
Magilim ukiinywa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na mafuta, pia husaidia kwenda kwenye damu kutoa sukari na uchafu kupitia kwenye figo.
Matokeo yake mwili hukosa nguvu kwa kutoa sukari na mafuta, kugandishwa pamoja na maji ya nyongo kwenye utumbo mkubwa na mdogo.
Kufanya mwili kulazimika kutafuta nguvu kwenye hifadhi zake, sehemu zenye mafuta mfano kitambi, ------ na mikononi wanawake. Wanaopunguza unene na uzito hivyo mwili unatengeneza kemikali inayosaidia kutoa mafuta kwenye mwili na yanasafirishwa na damu kupelekwa kwenye ini pale ambapo ini huvunjavunja yale mafuta na kutengeneza vitu vitatu; maji ya nyongo, nguvu ya mwili ana uric acid. Wakati huo maji maji ya nyongo yanazidi kugandishwa na mafuta kwenye utumbo mkubwa na mdogo.

  1. Uric acid na sukari inatoka kupitia figo kwenye mkojo na kufanya mwili unazidi kutoa mafuta kwenye hifadhi zake mwilini na kufanya mtu azidi kupungua(kukonda).
Magilim inasaidia kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu na kuzuia mwili kunyonya vyakula vya wanga kwenye utumbo mdogo na kutoa sukari kwenye damu kupitia figo, huleta faida kwa wagonjwa wa kisukari na wale wanaotaka kujizuia kupata matatizo ya sukari.
Magilim ikiwa kwenye ute ute(gel) kwenye utumbo inasaidia kusafisha utumbo mkubwa na mdogo na kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula.

KAZI YA MAGILIM


  • Kupunguza uzito na unene
  • Kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu
  • Kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula
  • Inapunguza uwezo wa mwili kunyonya lishe
  • Kutoa sumu mwilini
  • Kutoa chunusi mwilini
  • Kutibu matatizo ya tumbo

REVIVE

Bidhaa hii imetengenezwa na mimea aina mbili ambayo ni Epim-edium na Gin-sen. Bidhaa hii inawasaidia sana wanaume kuamsha hisia za mapenzi na kudumisha msisimko.

KAZI YA REVIVE


  • Kuongeza libido(ashiki au nyege)
  • Kutibu impotence(mahanisi)
  • Kuongeza muda wa uhai wa mbegu za kiume zinapotoka nje, zinatakiwa ziishi katiak joto 37’’C.
  • Kuweka mwili katika hali ya hisia ya kawaida
  • Kutibu maumivu ya kiuno
  • Kuchelewa kumwaga mapema(kufika kileleni)
  • Kutibu kutanuka kwa kibofu cha mkojo na kuzuia uwezekano wa kupata saratani ya kibofu cha mkojo.
  • Inaimarisha usafirishaji wa damu mwilini
  • Pia inasaidia kwa wenye pressure ya kushuka
  • Kuboresha utendaji wa tendo la ndoa


CA + FE + ZI PLUS


  • CA – Madini ya Chokaa
  • FE – Madini ya Chuma
  • ZI – Madini ya Zinki

FAIDA ZA MADINI YA CHOKAA

  • 5% ni uzito wa mwili wa binadamu na ni 2% ya uzito wa binadamu ni madini ya chokaa.
  • Madini ya chokaa yanaimarisha mfumo wa kinga mwilini
  • Madini haya yanasaidia utendaji wa kazi mwilini
  • Madini ckokaa yanaimarisha mishipa ya hisia na ubongo
  • Madini chokaa yanasaidia kugandisha damu mtu anapopata majeraha

FAIDA ZA MADINI CHUMA

  • Hutumika kutengeneza damu hasa Red blood cells ambazo husafirisha oxygen
  • Huimarisha mfumo wa mishipa ya hisia mwilini
  • Huongeza uwezo wa kufikiria na nguvu ya ubongo kwa binadamu
  • Huongeza nguvu mwilini

FAIDA ZA MADINI YA ZINKI

  • Inaimarisha mfumo wa uzazi kwa wanaume
  • Inaimarisha milango ya fahamu
  • Kutibu vidonda vya ndani na nje wa binadamu
  • Inatunza ngozi na kulinda ngozi na nywele
  • Inaondoa matatizo ya macho.


Kwa swali lolote au ushauri waweza kuuliza kwa kunipigia 0776491294/0713889162 au kuniandikia kupitia email ishealthy@hotmail.com

MAGILIM ni 62500/-, REVIVE ni 60500/- na CA+FE+ZI Plus ni 51000/-
 

Attachments

  • MAGILIM.jpg
    MAGILIM.jpg
    15.2 KB · Views: 334
  • REVIVE.jpg
    REVIVE.jpg
    13.9 KB · Views: 334
  • CA+FE+ZI Plus.jpg
    CA+FE+ZI Plus.jpg
    16.2 KB · Views: 301
piga misosi yenye virutubisho, tengeneza saikolojia yako vizuri, sahau madeni utapiga mzigo mpaka mtu ataomba poo. mimi juzi nimekuta na kitu kipya nilifanya hivyo mpaka sasa nimejenga heshima, mnara ulikuwa unasimama hamna network kukata kitu nilijiunga kabang......

Hahaaa 0718 au
 
kabang (TIGO)
piga misosi yenye virutubisho, tengeneza saikolojia yako vizuri, sahau madeni utapiga mzigo mpaka mtu ataomba poo. mimi juzi nimekuta na kitu kipya nilifanya hivyo mpaka sasa nimejenga heshima, mnara ulikuwa unasimama hamna network kukata kitu nilijiunga kabang......
 
Back
Top Bottom