Pole sana.
Jitahidi kuepuka vitu vinavyo kupelekea kutamani kupiga punyeto.
Epuka kula vyakula vitavyo kupeleka kupata nyege ilhali huna pa kupigia.
Fanya mazoezi mda amabo unapenda kupiga punyato na uji keep busy mda ambao una kua namawazo ya ngano au yanapo kua yanakujia kichwani mwako.
Tafuta mwanamke amabae unaweza ukampata mda wowote utao muhitaji.
 
Dar mi nakushauli kula vizuli mananasi.machungwa.tikiti maji.tangawizi.supu ya pweza.juic ya tende.pia bila kusahau mazoezi ya uume kudindisha na kuuchezesha kama vile unauinua juu chini kila siku pia a cha mchezo wako Wa punyeyo.pia wakati Wa kuduu usiwaze tatizo lako Fanya kama vile ujawahi kuwa name tatizo kama hilo Yang in hayo tu ndugu
 

mkuu hapo hato acha kupiga nyeto, maana ukila pweza na supu yake pamoja na tangawizi... ni hatari sana, uume masaa yote upo unatafuta pa kuingilia, so kwa mpiga nyeto ikimtokea hiyo condition faster anaenda bafuni kujipimia.
 
Mwambie dem ako atafute mme mwngne wa ushakuwa nuksi
 
Wewe mtoto uliacha kunyonya lini ukakimbilia mambo hayo ya wakubwa!!
 
jamani mimi pia nimmoja wa wajanga wa híi kitu nmefanya kwa muda wa mwaka 1na nusu..hivyo tatizo langu linakuja tu wakati wa kufanya mapenzi uume wangu huchukua muda kusimama baada ya bao la kwanza.. Hivyo naomba msaada wenu wadau

mi niko humu kwa miaka 13
na cwaz kuwa na mwanamke!!
 
Usiweke bwana nafikiri ni vyema tu ukamuomba mungu uache kwani sio jambo zuri mwisho wa cku utakosa nguvu kabisa
 
fanya sana mazoezi dogo
kimbia km 5 kila siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…