Gogle
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 1,495
- 867
Wakuu,
Ni kidume cha miaka 24, nimefanya tohara Kama miezi mitatu hivi iliopita, tangu nilipofanya tohara nimekuwa na tatizo uume kusimama Mara kwa mara, yaani nikiona mdada kajaaliwa neema za Mungu basi hapo uume unasimama dede kwelikweli na haushuki hadi nikapige punyeto au nimgegede demu, na mara nyingi nakuwa naishia kupiga nyeto au kwa hauzigelo wetu.
Hebu niambieni tatizo ni nini? Maana Kabla ya tohara Hali haikuwa Kama hivi.