mi niko humu kwa miaka 13
na cwaz kuwa na mwanamke!!
Kwa hiyo unamaanisha nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mi niko humu kwa miaka 13
na cwaz kuwa na mwanamke!!
imenibidi niliweke wazi tu,kupiga punyeto ni jambo linalonisumbua sana kwa muda sasa.Nilianza kpindi nipo o level shule ya bweni ya wanaume kutokana na hali yenyewe ilivyokuwa.Ijapokuwa sasa mpenzi ninaye lkn bado nimeshindwa kuacha,naomba ishauri jinsi ya kuacha punyeto na madhara ambayo yanaambatana na punyeto.
Tafuta mke uoe inaonekana shule kwako imekushinda...Habari zenu binafsi wandugu...
Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 19..tatizo langu ni moja nimekuwa mjanga wa kupiga punyeto takribani mwakammoja na nusu.. Shida nikwamba kila nikikutana na mwanamke uume wangu huchukua muda kusimama baada ya bao la kwanza hivyo naomba ushauri ni jinsi gan nitaweza kurudia hali yangu kama zamani na njia za kuacha kupiga punyeto asanten saana
19 inamaana ndo labda umemaliza f4 au bado, unakuwa na mawazo ya uzinzi, hii ndo BRN?
ACHA PUNYETO NA UZINZI, UKIMWI UPO NA UNAUA, ZINGATIA MASOMO KWANZA, TATIZO LAKO LITAISHA. NARUDIA TENA, DAWA NI KUFIKIRIA MASOMO YAKO NA SI UJINGA WAKO HUO.
Sasa punyeto na ukimwi wapi na wapi??????
Kwa hiyo unamaanisha nini?
M nna miaka 17 toka nianze kupiga nyeto Niko vzuri kbsa we itakua unakosea kuipiga