heshima kwenu ndugu zangu katika jukwaa hili.
nianze moja kwa moja mimi ni kijana wa miaka 24 nipo chuo mwaka wa tatu(civil engineering) mnamo tarehe 13/04/2014(jumapili saa nne hivi usiku niliipa talaka tabia ya kujichua na kujiwekea moyoni na kuingiza hisia za kuichukia zaidi(japo hii siku niliitenga kwa kupiga sana punyeto nakumbuka nilitumia mda mwingi kupiga lengo likiwa ni kuagana nayo),,ukweli ni kwamba mpaka ninapo andika uzi huu nikisikia mtu anapiga punyeto naumia sana kwa sababu ni moja kati ya adui niliyetangaza nae uadui wa maisha..hivo nilifanikiwa na kwa kweli hata ile hamu tu iliniisha na wala huwa siiwazi tena(niliamua kufanya tendo la kiimani ),,,kubwa zaidi niliandika hata maombi ya kuivunja hii laana kwani kwangu niliichukulia kama ni laana, haiwezekani mda wote nilikuwa natamani kupiga punyeto.
KWA HAKIKA NINASHUHUDIA USHUHUDA HUU NIMEACHA NA SIO KUACHA TU BALI NIMEICHUKIA,,na moja kati ya ombi langu kwa mungu hii tabia ikae mbali na mimi.
sasa ndugu zangu ushauri ninaouomba ni kwamba
1.najua kuna watu wamebarikiwa kuwa na madawa mengi na mbalimbali kwa ajili ya kutibu maradhi mbalimbali baraka hizo pengine ni kutoka kwa MUNGU.lakini hao kwa sasa naomba wasinisaidie kutumia dawa hizo ila ninachoomba...NI VYAKULA GANI VYA ASILI KUTOKA MADUKANI AU MASHAMBANI NAWEZA KUTUMIA ILI KUIMARISHA MIFUPA KATIKA UUME WANGU?(ikumbukwe isiwe dawa iliyotengenezwa hata kama ni kiasili bali nahitaji chakula ambacho chaweza kuwa ndio chai yangu,kinywaji changu na chakula changu)...
MWISHO;wanafunzi wengi hasa kwenye fani za engineering wamekuwa adicted na tabia hii ni vema tukaamka sasa na kuitokomeza
natanguliza shukrani
nawasilisha