Mr mgeni
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 1,222
- 805
nimekusoma nduguZa bure zipo kibao, mshauri jamaa aoe. Ila awe carefully kwenye selection.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimekusoma nduguZa bure zipo kibao, mshauri jamaa aoe. Ila awe carefully kwenye selection.
kitambo nilishamwambiaMwambie akapige punyeto...
I suggest foma will be the best akigusa mara mbili tu wareno haooooumemfundisha jinsi ya kupiga nyeto...? mwambie atumie sabuni ya kidoti!
kitambo nilishamwambia
I suggest foma will be the best akigusa mara mbili tu wareno haoooo
siongelei hao wa bure wa uswazi bali hawa hawa wanaojifanya wajanja ndo unagonga tena kiulaini kabisa kikubwa how to dance with the bit b'live me unawapata!vya bure mkuu vinagarim magonjwa mengi
umeona eehuzuri wa nyeto ni kwamba mademu una waona kama mafa.la vile maanaukishajisevia wala hawakubabaishi.
Tumia juice ya tangawizi - kwangua tangawizi kisha andaa kama juice. Waweza pata glass moja asubuhi na jioni, kama una nafasi na mchana ni vyema pia. Hii ina matokeo ya muda mfupi.
Waweza changanya na asali pia katika hiyo juice yako. Hii niliipata humu humu jf.
hapana sitakufa na ngoma kama nimeweza kikimbia punyeto sitashindwa kuizua zinaa(mapenzi yasiyo salama)Vizur kijana, sisi wengine hatuwezi kukiua chama cha CHAPUTA ni dhambi,tunasikitika kukupoteza mwanachama.Ss nenda kafe na ngoma maana lazima utataka uiguse yenyewe.
heshima kwenu ndugu zangu katika jukwaa hili.
nianze moja kwa moja mimi ni kijana wa miaka 24 nipo chuo mwaka wa tatu(civil engineering) mnamo tarehe 13/04/2014(jumapili saa nne hivi usiku niliipa talaka tabia ya kujichua na kujiwekea moyoni na kuingiza hisia za kuichukia zaidi(japo hii siku niliitenga kwa kupiga sana punyeto nakumbuka nilitumia mda mwingi kupiga lengo likiwa ni kuagana nayo),,ukweli ni kwamba mpaka ninapo andika uzi huu nikisikia mtu anapiga punyeto naumia sana kwa sababu ni moja kati ya adui niliyetangaza nae uadui wa maisha..hivo nilifanikiwa na kwa kweli hata ile hamu tu iliniisha na wala huwa siiwazi tena(niliamua kufanya tendo la kiimani ),,,kubwa zaidi niliandika hata maombi ya kuivunja hii laana kwani kwangu niliichukulia kama ni laana, haiwezekani mda wote nilikuwa natamani kupiga punyeto.
KWA HAKIKA NINASHUHUDIA USHUHUDA HUU NIMEACHA NA SIO KUACHA TU BALI NIMEICHUKIA,,na moja kati ya ombi langu kwa mungu hii tabia ikae mbali na mimi.
sasa ndugu zangu ushauri ninaouomba ni kwamba
1.najua kuna watu wamebarikiwa kuwa na madawa mengi na mbalimbali kwa ajili ya kutibu maradhi mbalimbali baraka hizo pengine ni kutoka kwa MUNGU.lakini hao kwa sasa naomba wasinisaidie kutumia dawa hizo ila ninachoomba...NI VYAKULA GANI VYA ASILI KUTOKA MADUKANI AU MASHAMBANI NAWEZA KUTUMIA ILI KUIMARISHA MIFUPA KATIKA UUME WANGU?(ikumbukwe isiwe dawa iliyotengenezwa hata kama ni kiasili bali nahitaji chakula ambacho chaweza kuwa ndio chai yangu,kinywaji changu na chakula changu)...
MWISHO;wanafunzi wengi hasa kwenye fani za engineering wamekuwa adicted na tabia hii ni vema tukaamka sasa na kuitokomeza
natanguliza shukrani
nawasilisha
Vizur kijana, sisi wengine hatuwezi kukiua chama cha CHAPUTA ni dhambi,tunasikitika kukupoteza mwanachama.Ss nenda kafe na ngoma maana lazima utataka uiguse yenyewe.