Punyeto ni nini na nini madhara yake?
samahan wakuu naomba kuuliza ivi kiafya natakiwa kupiga puli mara ngapi kwa wiki au mara ngap kwa mwezi

kama ndo unaanza pga mara 2 kwa cku yan kabla ya kulala na baada ya kuamka ukiwa unaoga asubuh so inakuwa doz ni 2* 1, ila kama ushakua mzoef na inakukera unataka kuacha nakushaur pga mara 1 kwa mwez af uje upgage mara 1 baada ya miez miwil uku ukiwa unadem wa kuzugia... Ila kama ukitaka kuacha kabsa tafuta demu anayependa kugongana ...
# Czan ata kama utapga tena apo
 
Habari zenu wadau? ni matumaini yangu mu hali njema na wale wenye matatizo poleni sana. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mimi nilikuwa muumini mzuri wa punyeto ila sasa nimeacha hii ni baada ya kuoa, sasa ndoa ina miaka 3, no mtoto! nifanyeje?
 
We ni me au ke
 
Ha ha ha eti ulikua muumini mzuri wa NYETO any way,,,ngoja tumuite mkuu hapa cc: MziziMkavu

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Last edited by a moderator:
Habari zenu wadau? ni matumaini yangu mu hali njema na wale wenye matatizo poleni sana. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mimi nilikuwa muumini mzuri wa punyeto ila sasa nimeacha hii ni baada ya kuoa, sasa ndoa ina miaka 3, no mtoto! nifanyeje?
MziziMkavu tunaomba msaada
 
Last edited by a moderator:
Inategemea ila ikizidi inaweza kupelekea hilo tatizo ingawa unapaswa kwenda hospitali wewe na mwenzio mkapate vipimo ndiyo itajulikana kama mbegu zako hazina uwezo wa kurutubisha yai au ni mwenzio ndiyo mwenye matatizo. Jibu lolote utakalopata huko uje uniambie nikupe suluhu ya tatizo lako
 
Habari zenu wadau? ni matumaini yangu mu hali njema na wale wenye matatizo poleni sana. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mimi nilikuwa muumini mzuri wa punyeto ila sasa nimeacha hii ni baada ya kuoa, sasa ndoa ina miaka 3, no mtoto! nifanyeje?
Ndio Mkuu Punyeto inaweza kukusababisha usipate watoto nenda Hospitali usipo pona huko Hospitali nitafute mimi ninaweza kukupa dawa zangu ukaweza kumzalisha mke wako au mpenzi wako nitafute kwa mawasiliano bonyeza hapa.Mawasiliano
 
LO! TUSIDANGANYANE WAKUU MPAKA SASA HAKUNA SCIENTIFIC EVIDENCE KUWA PUNYETO INASABABISHA UGUMBA JAMANI! KWA MUJIBU WA MAJARIDA NILIYOSOMA KWA TAFITI ZA U.S.A PUNYETO INAZUIA UWEZEKANO WA KUPATA PROSTATE CANCER Watu wanajibu kwa story za vijiweni mkuu nenda kwa daktari ukafanyiwe utafiti raia wana mind set za myths kuhusu punyeto kila la kheri mkuu!
 
Inategemea ila ikizidi inaweza kupelekea hilo tatizo ingawa unapaswa kwenda hospitali wewe na mwenzio mkapate vipimo ndiyo itajulikana kama mbegu zako hazina uwezo wa kurutubisha yai au ni mwenzio ndiyo mwenye matatizo. Jibu lolote utakalopata huko uje uniambie nikupe suluhu ya tatizo lako
Ahsante mkuu nimeuzingatia ushauri wako na nitaufanyia kazi.
 
Ndio Mkuu Punyeto inaweza kukusababisha usipate watoto nenda Hospitali usipo pona huko Hospitali nitafute mimi ninaweza kukupa dawa zangu ukaweza kumzalisha mke wako au mpenzi wako nitafute kwa mawasiliano bonyeza hapa.Mawasiliano
Ushauri wako nimeuzingatia mkuu, ahsante sana!
 
LO! TUSIDANGANYANE WAKUU MPAKA SASA HAKUNA SCIENTIFIC EVIDENCE KUWA PUNYETO INASABABISHA UGUMBA JAMANI! KWA MUJIBU WA MAJARIDA NILIYOSOMA KWA TAFITI ZA U.S.A PUNYETO INAZUIA UWEZEKANO WA KUPATA PROSTATE CANCER Watu wanajibu kwa story za vijiweni mkuu nenda kwa daktari ukafanyiwe utafiti raia wana mind set za myths kuhusu punyeto kila la kheri mkuu!
Nashukuru mkuu kwa ufafanuzi wako mzuri, nitakwenda hosptl kwenda kupata vipimo huenda nikapata solution ya tatizo langu ahssante sana.
 
Back
Top Bottom