duuh iyo cokiafya unatakiwa upige mara 3 kwa kutwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duuh iyo cokiafya unatakiwa upige mara 3 kwa kutwa.
unataka msaada gan?mweeeeeeeeh....
Drz wea a yu?? Wi nidi helpu hia plizi!!
Mara zote uwezavyo baraka govi
samahan wakuu naomba kuuliza ivi kiafya natakiwa kupiga puli mara ngapi kwa wiki au mara ngap kwa mwezi
Habari zenu wadau? ni matumaini yangu mu hali njema na wale wenye matatizo poleni sana. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mimi nilikuwa muumini mzuri wa punyeto ila sasa nimeacha hii ni baada ya kuoa, sasa ndoa ina miaka 3, no mtoto! nifanyeje?
We ni me au ke
Habari zenu wadau? ni matumaini yangu mu hali njema na wale wenye matatizo poleni sana. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mimi nilikuwa muumini mzuri wa punyeto ila sasa nimeacha hii ni baada ya kuoa, sasa ndoa ina miaka 3, no mtoto! nifanyeje?
Ha ha ha eti ulikua muumini mzuri wa NYETO any way,,,ngoja tumuite mkuu hapa cc: MziziMkavu
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
ID yake iko wazi kua ni SIR nasio MADAM
MziziMkavu tunaomba msaadaHabari zenu wadau? ni matumaini yangu mu hali njema na wale wenye matatizo poleni sana. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mimi nilikuwa muumini mzuri wa punyeto ila sasa nimeacha hii ni baada ya kuoa, sasa ndoa ina miaka 3, no mtoto! nifanyeje?
Ndio Mkuu Punyeto inaweza kukusababisha usipate watoto nenda Hospitali usipo pona huko Hospitali nitafute mimi ninaweza kukupa dawa zangu ukaweza kumzalisha mke wako au mpenzi wako nitafute kwa mawasiliano bonyeza hapa.MawasilianoHabari zenu wadau? ni matumaini yangu mu hali njema na wale wenye matatizo poleni sana. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mimi nilikuwa muumini mzuri wa punyeto ila sasa nimeacha hii ni baada ya kuoa, sasa ndoa ina miaka 3, no mtoto! nifanyeje?
Ahsante mkuu nimeuzingatia ushauri wako na nitaufanyia kazi.Inategemea ila ikizidi inaweza kupelekea hilo tatizo ingawa unapaswa kwenda hospitali wewe na mwenzio mkapate vipimo ndiyo itajulikana kama mbegu zako hazina uwezo wa kurutubisha yai au ni mwenzio ndiyo mwenye matatizo. Jibu lolote utakalopata huko uje uniambie nikupe suluhu ya tatizo lako
Ushauri wako nimeuzingatia mkuu, ahsante sana!Ndio Mkuu Punyeto inaweza kukusababisha usipate watoto nenda Hospitali usipo pona huko Hospitali nitafute mimi ninaweza kukupa dawa zangu ukaweza kumzalisha mke wako au mpenzi wako nitafute kwa mawasiliano bonyeza hapa.Mawasiliano
Nashukuru mkuu kwa ufafanuzi wako mzuri, nitakwenda hosptl kwenda kupata vipimo huenda nikapata solution ya tatizo langu ahssante sana.LO! TUSIDANGANYANE WAKUU MPAKA SASA HAKUNA SCIENTIFIC EVIDENCE KUWA PUNYETO INASABABISHA UGUMBA JAMANI! KWA MUJIBU WA MAJARIDA NILIYOSOMA KWA TAFITI ZA U.S.A PUNYETO INAZUIA UWEZEKANO WA KUPATA PROSTATE CANCER Watu wanajibu kwa story za vijiweni mkuu nenda kwa daktari ukafanyiwe utafiti raia wana mind set za myths kuhusu punyeto kila la kheri mkuu!