Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Haa ha ha...nakumbuka tukiwa shule tumefanya sana hiyo kitu na masomo tukawa tunapasua vibaya na kimaisha mambo yanasonga vizuri maana ilikuwa ukiwa class alafu nyanga hazipandi kwa sababu ya hisia unaenda faster chooni unakojoa vyote kisha unarudi faster kupiga shule sasa kwa nguvu zaidi ukiwa stress free...

..Hivyo hiyo ya usahaulifu wa masomo na nuksi kimaisha sidanganyiki.

Na sidhani kama inahitaji dawa kuacha, ni maamuzi tu magumu ya kusema toka moyoni kuwa "sasa basi".

Nakubaliana na wewe kwa asilimia zote kabisa..
 
dawa ni kusali mkuu,pia kuacha kuangalia picha za ngono na kujiweka busy hasahasa muda unaohisi mihemko(kutoka nje kupiga story na washkaji au kufanya mazoezi yanayochosha mwili ili kuondoa mawazo ya kufanya punyeto) pia kupunguza frequency ya kufanya eg. kama unafanya 3 kwa siku unapunguza taratibu hadi 2 kwa siku hivo hivo hadi unajikuta unaacha
 
Haa ha ha...nakumbuka tukiwa shule tumefanya sana hiyo kitu na masomo tukawa tunapasua vibaya na kimaisha mambo yanasonga vizuri maana ilikuwa ukiwa class alafu nyanga hazipandi kwa sababu ya hisia unaenda faster chooni unakojoa vyote kisha unarudi faster kupiga shule sasa kwa nguvu zaidi ukiwa stress free...

..Hivyo hiyo ya usahaulifu wa masomo na nuksi kimaisha sidanganyiki.

Na sidhani kama inahitaji dawa kuacha, ni maamuzi tu magumu ya kusema toka moyoni kuwa "sasa basi".

ha ha ha ha ha ha ..... mi mwenyewe nimeshangaa kuona sasa ivi...mafanikio yanahusishwa na punyeto..ha ha ha eti inachafua nyota...kaaz kwelikweli.
 
Jibu ni Yesu Kristo Pekee yake,Epuka kaaabisa kutumia nguvu za giza ktk hili,Ashukuriww mungu kwa hili Jema atendalo,la kututoa ktk dhambi na kumgeukia yeye!!
 
Huenda huna tu utulivu wa akili yaani unawaza sana na hofu imekutawala kutokana na stori za mtaani! Jiamini na unaweza! Umri wako ukoje?
 
Jukwaa uliloletea mada/ulipoingilia inaonyesha uharaka sana kama sio papara hata kitandani
Tuliza akili tu mkuu!!!
 
Ha ha haaa mkuu hapa ni Ujasiriamali hilo tatizo kama ulivyoshauriwa peleka MMU
 
ndio kaka lakini yakupasa utambue mtu anae piga punyeto ya nzi nayule anaepiga kwamkono nivitu viliwi tofauti mana huzidiana katika mateso
Punyeto ya nzi ndio ikoje??
 
huu ni mchezo unaowasumbua wengi haxwa wanaume na kutokana na kuuzoea weng hupenda kujiita wagumu,SASA NINAOMBA MCHANGO WAKO WA MADHARA YA HUU MCHEZO UWE MUATHIRIKA AU USIWE MUATHIRIKA WA MCHEZO HUU ILI KILA MTU AJUE MADHARA YAKE NA NAMNA YA KUUEPUKA,AHSANTE
 
Ukipenda nyeto unaweza kuwa khanisi,.. Hata ukiliona puchi lile pale, shelele linabaki kwenye flaccid state! Hatari Sana.
 
madhara yake ni kwamba unakaa bafuni muda mrefu wenzako wakikusubiri kuingia kuoga

kingine ule utelezi unaeza angusha wanaokuja kuoga after you

kingine kama choo kinanuka(choo cha tabora boys) ni hatari kwa mafua
 
Umenichekesha sana bidada
 
Back
Top Bottom