Barelawyer
Senior Member
- Oct 11, 2012
- 197
- 71
Haa ha ha...nakumbuka tukiwa shule tumefanya sana hiyo kitu na masomo tukawa tunapasua vibaya na kimaisha mambo yanasonga vizuri maana ilikuwa ukiwa class alafu nyanga hazipandi kwa sababu ya hisia unaenda faster chooni unakojoa vyote kisha unarudi faster kupiga shule sasa kwa nguvu zaidi ukiwa stress free...
..Hivyo hiyo ya usahaulifu wa masomo na nuksi kimaisha sidanganyiki.
Na sidhani kama inahitaji dawa kuacha, ni maamuzi tu magumu ya kusema toka moyoni kuwa "sasa basi".
Nakubaliana na wewe kwa asilimia zote kabisa..