Gunda66
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 516
- 312
Hayo yanakua matatizo ya kisaikolojia, itabidi uache kupiga puchu huku ukijinasibu na kuwa na mchumba au mke kiasi ukimuhitaji utampata... na ufanye mazoezi kuijenga upya misuli yako itasaidia kukurejesha kufikiria kama zamani
OK, kiongozi asante kwa mchango wako lakini mimi sio mpigaji bali kuna jamaa wangu tangu tupo Makongo kipindi hicho hadi leo na ndo maana nimeuliza ili nijue coz jamaa huwa ananambia anajaribu kuacha lakini wapi, ngoja niikopi hii page inaweza msaidia na vipi kuhusu hayo mazoezi ya misuli, ndo yapoje hayo??