Petro Oswald
JF-Expert Member
- Aug 17, 2015
- 2,382
- 1,881
atafute 2 mwanamke , akizoea sex ataacha puchu ,inshort ni suala la mazoea ya m2 kiakili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
My dear, kupenda kuna dwfinitions nyingi sana.
Ushauri wa haraka kwa hapa sidhani kama upo kwa mapana yake.
Ila wewe kama unatafuta mwenzi wa maisha tafuta anayekufaa wewe. Make sure anazo qualities unazohitaji kwenye future yako.
Inawezekana kuwa unatamani kujitoa sadaka pia mi poa as long as hutatumia hio sadaka kutafuta sifa au sympathy au kimdharau kaka wa watu.
Wewe sio nesi wala daktari wake.
Commitments baina yenu ziwe kuheshimiana kuaminiana kutunzana regardless.
Mapungufu ambayo najua na wewe unayo kama yeye ni muhimu msiyaweke mbele kama mnajikuta yanakaa mbele na hamna mamno mengine mazuri mnayopeana sidhani kama mtaishi kwa raha.
Ila pia kwa sie wakristu ndoa isiokuwa na tendo la ndoa sio ndoa.
Tafakari umamuonaje huyo kaka
-Ni mtu asiyeweza ku do? Unaogopa kumuacha asipate shida au wewe usikose mwingine? Usivunje ahadi? Usisemwe kuwa unachukia walemavu? Usiambiwe umeshindwa?
-Au ni mtu unayempenda anayekupa mapenzi na kukusuport mambo mengi na ukiwa nae unafurahi? Akiondoka unammiss? Mkiwa pamoja mnakuwa na nguvu ya mambo mengi? Anakujenga na wewe unamjenga?
Inakuwajee?
Kuna rafiki yangu nimpiga nyeto ballah.
Sasa kapata mpenzi, soanaogopa kushiriki nae tendo kwa sababu ya muda mrefu kuwa addicted na punyeto since miaka 17 mpaka now ana 22.
He told me alipokuwa faragha na mpenzi wake hakupata stimu mpaka alipopata blowjob.
Lakini wakati anaingiza ndani ya Vutu, goma hapo hapo ikalala bila ya kupump.
Mnamshauri nini huyuu?:decision:
HI wana jf,
Nauliza kama kuna tiba yoyote ya kudumu kwa mtu aliyeathirika na upigaji punyeto kwa hapa kwetu tanzania? namaanisha aliyeathirika mpaka akashindwa ku perform anapokutana na mwanamke kama alivyokuwa aki perform mwanzo,au ndo inakuwa kilema cha maisha?na kama zipo zinapatikana wapi?
Mimi binafsi sina details zozote ila kuna rafiki yangu ameniuliza swali hilo zaidi ya mara tatu nimeshindwa kumjibu zaidi nimehisi huenda ana tatizo linalohusiana na hizo issue ila anaona aibu kuniambia.
naomba kujuzwa wadau ili nijibu kama nilivyoulizwa
Nahitaji kuacha puchu jaman nahis nmeshakuwa kilema! Sijui nn nifanye! Naomba msaada wenu tafadhali