Ni tabia ambayo nimeianza mara baada ya kugundua wanawake wa siku hizi ni full stress na walishanitenda, halafu pia nimegundua nabana matumizi kwakuwa sihongi tena, sana sana gharama ninazozipata ni kununua tu sabuni za vipande ambazo huwa nazitumia katika kuzipigia punyeto.
Nina miaka mitatu sasa sifanyi ngono na mwanamke na badala yake napiga tu punyeto, na nakumbuka kwa siku tano zilizopita nimepiga mno punyeto na tokea jana naona kuna hitilafu katika uume (mchi) wangu ambapo sasa kuna vipele na vinaniwasha.
Wana wapiga punyeto wenzangu, naomba msaada wenu katika hili, au kwa wale mliobobea katika masuala ya afya hii ya uzazi naomba ushauri wenu kwani ile sehemu yenye vipele inaniwasha mno halafu tokea asubuhi nimepatwa na hamu tena ya kupiga punyeto ila nashindwa kwakuwa nikipaka tu sabuni tayari kwa kupata utelezi, uume wangu, hasa ile sehemu yenye vipele inawasha vilivyo.
Msaada wenu tafadhali, nitawashukuru nikijua nina tatizo gani na tiba yake ni nini. Niokoeni jamani members!​