Punyeto ni nini na nini madhara yake?
We mshika mapembe mawazo yangu ya nn..Kwani mi nina papuchi...

Labda ningemuomba Dokta rubii awape ushauri ni vipi wanaweza kuacha kwa wale ambao ni wadau tayari

Duh, umenikumbusha mbali sana kwa hili jina la mshika pembe.

Nimekuita uone jinsi nilivyomu-inspire rubii kuacha michezo yake hii, hapo ndo uelewe kwamba kweli ameshikika, soon atakuja na uzi unaokemea kusagana wakati wanaume tupo, then atakuja na uzi wa kunisifu kwa kubadili maisha yake.

Ha ha ha, basi tunakupanikisha kama Omy Dimpozi.
 
Back
Top Bottom