Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Siku moja moja sio mbaya jamani,
Hasa kutegemea na mazingira,
Mf. (upo mbali na beibe, mambo ya sex phone) aaah unakua mwepesiiii.
 
Inategemea anapiga na nini.... kama anatumia mshumaa au peni unadhani itabaki kweli?
Ohooo na mshumaa unatumika jamani...wanaume tupo si mtutumie kumaliza shida zenu wadada!!!
 
That's is demonic attack if you must know. Hilo au hayo ni majini mahaba ambayo watu wengi huyapata kwa tabia zao za kila siku. Mfano kupenda kutazama picha za ngono. Madhara unayoweza kuyapata ni:
1. Kushindwa kumtosheleza mkeo baada ya muda fulani ujao.
2. Kuvunjika kwa ndoa au mahusiano yenu.
3. Kushindwa kupata watoto.
4. Mikosi
5. Kupoteza kazi
6. nk
Tiba yake kwanza unatakiwa mfanye mapenzi na mkeo asubuhi hiyo kabla ya kwenda kuoga, jitahidi kwenda naye kuoga ikiwezekana. Usitumie muda mrefu bafuni. Usipende kushikashika nyeti zako hasa wakati wa kupaka povu la sabuni. Above all unahitaji msaada wa maombezi.
 
wadau salamu ziwafikie;

nimeoa takribani miezi 7 sasa, lakini cha kushangaza kila siku asubuhi nikiwa naoga bafuni kwa ajili ya kujiandaa kwenda kazini ni lazima nipige punyeto, ndugu zangu ebu nisaidieni nini tatizo; nifanyeje ili niache tabia hii??
Siku ukiacha tuu unakufa.
 
Kama ilivyo kwa jinsia ya kiume, kuna wanawake pia ni wahanga wa kufanya punyeto kwa kutumia vifaa tofauti tofauti.
Haya ni baadhi ya madhara awezayopata mwanamke anayejichua
1/INA HARIBU KIZAZI
2/INA KUFANYA KUA MVIVU MARA KWA MARA
3/UNA KUA UNA KOSA HAMU YA TENDO
4/MAUMIVU UKENI YASIYO NA SABABU
5/UKE KUWA MREGEVU YAANI MTEPETO
6/HUPEREKEA UKE KUTOA MAJI MAJI MARA KWA MARA AU MAJI YALE AMBAYO UTOKA KABLA YA TENDO KUTO KUWEPO IVYO ITAKUFANYA KUPATA MICHUBUKO NA MAUMIVU MAKALI WAKATI WA TENDO
7/ UWEZI KUJA KUJUA RAHA YA TENDO UKIZOHEA PUNYETO SANA WW DADA
8/PUNYETO INA FANYA UKE WA MWANA MKE KUKOSA RADHA KABISA IYO ITA PELEA KUKIMBIWA NA MMEO AU MWENZAKO KUTAFUTA KAMCHEPUKO KENYE UKE MTAMU
9/NA UKIZOHEA PUNYETO ITAKUFANYA KUWA MTU WA HASIRA HASIRA KILA MARA
10. PUNYETO NI HATARI KWA AFYA YAKO PIA UKII HIZOHEA SANA ITA PEKEKEA KUFANYA MAPENZI YA JINSIA MOJA

!
!
Kuna lile swala la kutokuchimba wakiwa wanakojoa kwenye mchanga.
 
Usishangae dyudyu kulepweta kama utambi wa kibatari
C6tDAxX.png
 
Kwa wanaume wanaiita Punyeto na kina mama wameibatiza ya kwao wanaiita Selfie....So ukisikia demu anawaambia wenzake leo nimejipiga selfie za kutosha...Dont conclude, ask ipi hiyo?
Selfiee😀😕😕
 
Back
Top Bottom