Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
typing error ila nazani unajua maana yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo napenda kutoa ushauri kwa wadogo zangu na hata pia watu wazima wenzangu ambao mnatabia ya ajabu ya kujichua.
Kwa wewe ambao unaendeleza huu ujinga nakusihi acha mara moja usije ukawaacha ndugu zako wakiwa wapweke kwa kifo cha kujitakia.
Utafiti unaonesha kuwa upigaji wa punyeto husababisha mwili kukosa nguvu mwisho wa siku mpigaji atakuwa mchovu mchovu na mtu anayependa kulala muda wote. Na kama inavyojulikana kulala lala hovyo husababisha ugonjwa wa kiharusi utakao pelekea kifo.
Pia upigaji wa punyeto husababisha kansa ya ubongo ambayo nayo pia itapelekea kifo. Vile vile upigaji wa puli husababisha magonjwa ya moyo.
Alafu kama tunavyojua Y chromosome ina low life expectancy kuliko X chromosome alafu bado mnaendeleza ujinga ujinga.
Pia napenda kukosoa baadhi ya watu wazima humu kwa tabia yao ya kuwapotosha wadogo zetu na kuwaambia eti puli haina effect yoyote na kuipa sifa kedekede.
NB: Huu ni ushauri tu ukiweza uchukue kama hauna maana yoyote kwako pia nayo iko poa maana imeandikwa Asiye sikia la mkuu huvunjika guu.
elimu ya mwendokasi hii au ili mradi aandike tu threadUdom degree
Research za kupata vyeti hizo.
Kumbuka haujaitwa humu ,alafu rejea mwisho wa uzi nimesema niniyaani leo umeandika pumba kabisa kuliko siku yoyote,halafu huku ni jukwaa la doctors acha kuandika bila fact. elezea kiundani point zako sio unaungaunga tu dots kama jukwaa la historia
Hamna kilicho bora hapo, acha puli acha zinaaSasa puli na ukimwi bora nini, maana kufa kupo ni suala la kuchagua ufe vipi tu.
hongera mkuu fanya hivyo hii kitu sio nzuri kabisaKumbe ndiyo maana muda mwingi nakuwa nimechokachoka na pia napenda kulalala ovyo ovyo, kumbe hii ndiyo sababu. Basi kuanzia leo naacha punyeto.