Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Wanajamvi naombeni mawazo yenu jinsi ya kufanya ili kuacha kupiga puchu. Huu sasa ni mwaka wa 6 tangu nilianza kupiga puchu ila nimetafuta njia ya kuacha ila huwa ninashindwa. Nimekula madawa ila bado hiyo tabia ambayo sasa imekuwa tatizo la kudumu lisiloachika kama hauna maoni au ushauri kuhusu ili wapishe wenzio wanipe majibu. Asanteni
Moja ya vitu unvyoweza kufanya n kwanza kukubali na nafsi yako kwamba umekuwa muathirika wa hili tatizo na unataka kuacha hakikisha unajituma kuacha vitu vyote ambavyo vinaku amsha hisia zako na kupelekea kufanya hi I kitu jaribu kujiwekea mazingira mazuri ya kutokuwa peke yako n all that ila ebu kubali umekuwa muathirika kiakili n then jaribu kufuata hayo nliyosema physchological utaweza
 
Hii kitu kuacha ni sawa na kuacha matumizi ya unga kama umeshakuwa addicted
 
ANZA HIYO TABIA NA UKIKUBUHU UJARIBU KUIACHA, UKISHAFANIKIWA KUACHA UJE NA MAJIBU MAANA UTAKUWA UMEPITIA HYO TABIA NDUGU! 🙂😉🙂
 
Wengi wanaamini madawa ya nguvu za kiume yenye kemikali ni za vidonge kama Viagra,siku hizi hata madawa ya wataalam wetu wa tiba asilia yana kemikali,unajua kwa nini?
"Wataalam wengi wanakuza miti ya dawa kwa kutumia mbolea ili hiyo miti ikue harakaharaka wapate kufanya biashara,na sababu nyingine,hata kama mzizi wameutoa porini watauchanganya na makemikali ya kila aina ili udumu muda mrefu"
Akili kumkichwa wewe unayetumia hizi ishu.
 
Tatizo mnapiga nyeto kama mnameza dozi kila siku 2 mara 3 unategemea nn
 
Wengi wanaamini madawa ya nguvu za kiume yenye kemikali ni za vidonge kama Viagra,siku hizi hata madawa ya wataalam wetu wa tiba asilia yana kemikali,unajua kwa nini?
"Wataalam wengi wanakuza miti ya dawa kwa kutumia mbolea ili hiyo miti ikue harakaharaka wapate kufanya biashara,na sababu nyingine,hata kama mzizi wameutoa porini watauchanganya na makemikali ya kila aina ili udumu muda mrefu"
Akili kumkichwa wewe unayetumia hizi ishu.

Kwani kemikali ni nini mkuu?
 
una mda gani umeacha?je unajixhanganya na wanawake sn?mara nyingi ni kuanzia miezi 4 hadi mwaka ukileta ujinga ht miaka 2,acha nyeto kwanza ,jichAnganye na mademu,pumzisha pipe hiyo kwa miezi 4 bila shida angalau utakua afadhali na matokeo utaona
 
Hivi ni kitu gani kinaweza fanya mwanaume kushindwa mpa mimba mwanamke ....?? na mtu akiwa hana uwezo huo anajuaje bila kupima ?? je upigaji wa punyeto unaweza sababisha sperms kukosa nguvu
 
hivi ni kitu gani kinaweza fanya mwanaume kushindwa mpa mimba mwanamke ....?? na mtu akiwa hana uwezo huo anajuaje bila kupima ?? je upigaji wa punyeto unaweza sababisha sperms kukosa nguvu
 
Anaweza kuwa sperm zake hazijakomaa yaani immature sperms,mishipa ya uume kuregea n.k na ni sahihi kwamba punyeto inasababisha sperms kukosa nguvu
Vipi kama mtu huyo akiacha kupiga punyeto takribani mwaka mmoja??
 
Acha punyeto, mrudie Mungu, baada ya huo mwaka mmoja kapime, ukikutwa uko vizuri sasa, ninaimani itakuwa poa, ikiwa una mchumba basi oa.
 
Kufa sawa tutakufa ila punyeto inapelekea kifo cha haraka zaidi, hivi ujawahi kusikia kesi za mara za watu wanaokufa ghafla kisa puli??
Natambua kuwa Punyeto sio nzuri, lakini binafsi sijawahi kusikia mtu au watu wamekufa ghafla kwa sababu ya kupiga puli
 
Sasa mkuu hebu tupe namna ya kuacha kupiga puli maana hii ni kama drug abuse huwezi ukaacha mara moja
 
yaani leo umeandika pumba kabisa kuliko siku yoyote,halafu huku ni jukwaa la doctors acha kuandika bila fact. elezea kiundani point zako sio unaungaunga tu dots kama jukwaa la historia
Naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom