Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Wengi wanajisifia eti"napata kitu size roho inataka" kama utelezi hata sabani nayo inayo...
 
Swali, nipo mbali na mume wangu,nikipata hamu sitafuti mchepuko najichua mwenyewe naridhika.ushauri wako kwa watu kama sisi tufanyeje kupunguza nyege tutoke nje ya ndoa au kuna njia ipi mbadala ya kumaliza hisia zangu?
 
Hili swala la punyeto limekua ugonjwa wa taifa siku hizi mwanzo nilidhani ni peke yangu tu lakini Siku hizi kila mwana jf naona anatafuta tiba mbadala baada ya kuathirika ama kupata madhara yasabishwayo na punyeto. Mimi mwenzenu sina furaha ya maisha na msongo wa mawazo tu maana mpaka leo siijui ipi tiba ya matatizo niliyonayo. Nmekua mpiga punyeto mashuhuri kwa miaka takribani kumi ila niliiambiwa Ina madhara nikapuuza kwa maana sikuyaona. Kumbe madhara yake ni longterm effect yaani ya muda mrefu. Kama kuna MTU anapiga nyeto namshauri aache haraka maana ni kama unga Ina addiction. Mimi sasa hivi sina sifa ya kuitwa mwanaume kwa maana jogoo halipandi mtungi. Wanawake wote wanaishia kua mashemeji zangu tu. Nmeamua kujitenga nao, sio kama napenda ila nitafanyaje. Utajiujuaje kama umeathiriwa na punyeto??
Haya ni baadhi ya madhara ambayo hayatoki Google wala site yoyote ila ni kwangu ambayo yamenitokea.
1. Kupoteza uwezo wa kufikiri
2.kupoteza nguvu za kusimamisha uume
3.uume na korodani kusinyaa(uume unakua kama mtoto pumbu zinashuka kama mzee
4.shida ya mkojo maana kukojoa inabidi usikilizie kama sekunde 3 au 4 ndo mkojo utoke
5.kupoteza kumbu kumbu hata kama kitu unakifanya sasa hivi unasahau muda huo huo
6.kuota kipara au kiwalaza wakati bado una umri mdogo
7.maumivu ya korodani
8.kuhisi umechoka muda wote na mwili kukosa nguvu.
9.kua na mwili wa kizembe yani unakua na manyonyo mtoto wa kiume
10.kupata wakati mgumu kwenye kulizngatia japo(low concentration)
11.msongo wa mawazo (ambao nimesikia unaathiri vitu vingi)

Kwa ufupi sina furaha ya maisha kabisa. Naona umri unaenda ila mi kazi yangu kulala na kuamka. Sina kazi sina elimu na familia yangu ndo vile mwenzangu na mie, naona kama majanga yote ya dunia nimeshushiwa mie. Nawasihi ndugu zangu hizi herbal clinic mnazosikia ni wapiga pesa tu nishaenda kwa dokta mwaka, mandai na tanzaone herbal clinic ila Hamna kitu. Nishawahi kupima hormone hospitali ila nkashindwa gharama za matibabu. Nilikutwa na hormonal imbalance yani za kiume ziko chini halafu zile za kike zipo juu wakat mimi ni mwanaume. Siombi msaada wenu kama watu wengine maana hakuna mwenye uwezo wa kunisaidia, ila nachokitaka tu ni nyie msambaze Ujumbe huu uwafikie watu wengine ambao bado hawajaanza kuona madhara niliyoyataja hapo juu ama kuwakanya kabisa vijana wenu. Na chanzo kikubwa cha mapunyeto ni filamu za x na kuogopa au kuwaonea aibu wasichana.. Filamu za x zitaendelea kutumaliza hasa kizazi hiki cha smartphone.
 
kwa wanawake inakuaje maana huwa napiga sana
 
Back
Top Bottom