mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,074
- 5,486
Wadau habari zenu
Bwana Yesu Asifiwe
Aslaamhaleykhum
Baada ya salamu naomba niende Moj kwa Moja kwenye hoja
Hoja yangu ni njia ya kuacha punyeto nlianza kupiga nipo boarding form 1 miaka zaidi ya 15 iliyopita ,nimejaribu kuacha lakini after 1 or 2 week natamani kuipiga na nna piga,nna mademu watano ,MKE halali mmoja na mtoto mmoja
Naweza nikasex na demu goli 5 akasepa lakini ghafla natamani Nyeto Sasa sijui nitumie njia Gani kuacha kabisa najua tatizo hili linawakumba wengi so sio mbaya tukashauriana hapa kuachana na kadhia hii
Usiache punyeto...ina faida yake. Ukiacha utapatwa na fangas kiurahisi mikononi, mgongo kuuma mara kwa mara, kupoteza concentration, kupungukiwa na hamu ya kula, kutamani kufanya mapenzi na wanyama, kucheka hovyo hovyo, kutamani sana kuangalia wanyama wakifukuzana kutaka kufanya tendo la ndoa. Piga nyeto tu...jipe furaha na upate kuwa na afya njema kwani pia inasaidia kupeleka damu mwilini vizuri na kukuepusha na presha.