Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Wadau habari zenu

Bwana Yesu Asifiwe
Aslaamhaleykhum

Baada ya salamu naomba niende Moj kwa Moja kwenye hoja
Hoja yangu ni njia ya kuacha punyeto nlianza kupiga nipo boarding form 1 miaka zaidi ya 15 iliyopita ,nimejaribu kuacha lakini after 1 or 2 week natamani kuipiga na nna piga,nna mademu watano ,MKE halali mmoja na mtoto mmoja

Naweza nikasex na demu goli 5 akasepa lakini ghafla natamani Nyeto Sasa sijui nitumie njia Gani kuacha kabisa najua tatizo hili linawakumba wengi so sio mbaya tukashauriana hapa kuachana na kadhia hii

Usiache punyeto...ina faida yake. Ukiacha utapatwa na fangas kiurahisi mikononi, mgongo kuuma mara kwa mara, kupoteza concentration, kupungukiwa na hamu ya kula, kutamani kufanya mapenzi na wanyama, kucheka hovyo hovyo, kutamani sana kuangalia wanyama wakifukuzana kutaka kufanya tendo la ndoa. Piga nyeto tu...jipe furaha na upate kuwa na afya njema kwani pia inasaidia kupeleka damu mwilini vizuri na kukuepusha na presha.
 
chama hakipo tayari kukupoteza mtu mwenye uzoefi kama wewe bado tunakuitaji kwa kuendelez acedemy yetu

Ila mkuu uko vizuri bao tano na bado unatka upige nyeto
 
ukiamua unaweza hasa kwa kufunga na kuomba, fanya mfungo japo wa cku 3 ukiomba mungu uta sahau na kuacha maana kla hamu ikikuijia utakumbuka mfungo wako na maombi yako nakuhakikishia uta acha....
 
Njia rahisi ni maombi tu kama muislam waone mashekhe kama mkristo waone wachungaji mlilie Mungu haja yako ya kutaka kuacha punyeto
 
Mkuu barua ya kung'atuka umeshawasilisha Halmashauri kuu ya chama na umeambatanisha vielelezo Kuwa ulikuwa mwanachama hai km nakala ya kitambulisho na risiti za kulipia uanachama.. vp suala la mafao yako umegusia kwenye barua yako..
 
Jomba demu ni msimu n nyeto uhakika usidharau nyeto bureee kurndekeza demu
 
mm nastahili uenyekiti kabisa nyeto tamu sana kabao kamoja tu mwepesi hapa nataka nipige kimoja nilale
 
Barua yako ya maombi kama kiongozi wa shina wa CHAPUTA naichana....na siko tayari kukupoteza kwani tuna wanachama wachache kwa sabubu ya papachu kushuka bei sana .........jaribu tena mwakani mkuu🙂
 
Wadau habari zenu

Bwana Yesu Asifiwe
Aslaamhaleykhum

Baada ya salamu naomba niende Moj kwa Moja kwenye hoja
Hoja yangu ni njia ya kuacha punyeto nlianza kupiga nipo boarding form 1 miaka zaidi ya 15 iliyopita ,nimejaribu kuacha lakini after 1 or 2 week natamani kuipiga na nna piga,nna mademu watano ,MKE halali mmoja na mtoto mmoja

Naweza nikasex na demu goli 5 akasepa lakini ghafla natamani Nyeto Sasa sijui nitumie njia Gani kuacha kabisa najua tatizo hili linawakumba wengi so sio mbaya tukashauriana hapa kuachana na kadhia hii
Goli tano we umekuwa beberu?

Acha hekaya za abunuasi kuwa muwazi kijana usaidiwe
 
Miaka 15,,Madem 5,, mke 1,, mtoto 1.. na bado unakojoa Goli 5.....
BOb we ndo Rol Model wangu
 
MKUU NAKUPA CHEO CHA KATIBU MUENEZI WA ITIKADI ZA MAANA MIAKA 15 UNAUWEZO WA KUFUNGUA ATA TWISHENI KUFUNDISHA WENZAKO MI NASHUKUR SHULE NILIZOSOMA HAKUKUWA NA HUYO MCHEZO
 
Back
Top Bottom