Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Nawashangaa sana kijana anaposimama kifua mbele kuitetea punyeto , akihamasisha kwa namna moja ama nyingine walioathirika kuendelea huku wakijifariji haina madhara, lakini pia kuhamasisha vijana wadogo wasiofanya mchezo huu mchafu kuanza kujichua,, Punyeto ina madhara makubwa kuliko mnavyofikiria.

Madhara yake ni kama yafuatayo.

i) Punyeto inakufanya uwe mbinafsi na mchoyo,,

From scientific point of view ni kwamba kitu chochote ama tabia yeyote ikiwa repetitive ina be adopted in subconsious mind na kuwa sugu, sio tu sugu lkn pia inashawishi tabia zako zingine kufuata mkumbo wa hiyo tabia yako ambayo imeshakuganda na kua addictive behaviour ( kwa kifupi "an addictive bahaviour addicts and influence other behaviors in someone's daily actions.)
sasa unapopiga punyeto always unataka kua peke yako peke yako ili kutimiza haja zako.) that addictive bahaviour must influence other behaviours in its course of action.

ii) Punyeto inafuta kumbukumbu na kukufanya uwe na uwezo mdogo, sio tu kukumbuka hata kufikiri mambo katika mapana yake.

Mpiga punyeto daima hana kumbukumbu,, wengi watajiuliza "mbona namjua fulani anapiga punyeto lakini ana faulu masomo" jibu ni hili ( IQ na MEMORY ni vitu viwili tofauti vinachukua sehem tofauti katika ubongo wa mwanadamu.) Nami nikuulize? hujawahi ona mtu anauwezo mkubwa sana wa kukumbuka mambo lakini in accadermics ni wa kawaida sana..!!! Au hujaahi ona Genius msahaulifu? kimsingi wapo...

Serikali ya magufuli isijiulize mbona vijana wake wanamlilia kila siku "ajira, ajira, ajira" na walioko Kazini wengi wao hawana ubunifu wa aina yeyote ile,, kiufupi hawana effect yeyote wanafanya kaz kimazoea?

Au asijiulize kwa nini vijana wake wanasoma had kua Professors lakini badala ya kuleta changes kutokana na elimu walionayo wanageuka na kua Wezi, na mafisadi wakubwa,,,..................

Madhara ya punyeto hayo yote.... ACHAAAAA....

iii)Punyeto ina uhusiano mkubwa sana na body growth,,,

Kama mlivosoma huko nyuma, mwili unahitaji protein yakutosha ili ukue, na kimsingi protein inayohitajika kutengeneza manii za mwanaume ni protein ya hali ya juu sana ili kwenda kurutubisha yai la mwanamke na kutengeneza mtoto,,

Mpiga punyeto anatoa manii ndan ya mwili wake mara 2 had 3 kwa siku, kwa wiki atatoa mara 14 had 21, kwa mwezi atatoa mara 60 had 90 kwa mwaka atatoa mara 720 had 1080

Ivi unajua ni kiasi gani cha protein uloitoa kwa mara zote izo? Na Je ulipotoa mara zote izo ulikula vizuri ukaingiza protein kiwango kile kile ulichotoa?

Na kama tunavojua ktk maisha itafika muda mwili utaanza kutumia nutrients zilizoko mwilini kwa kias kikubwa kujiendesha kuliko kutumia nutrients mpya zinazoingia( namaanisha uzee) Ss ww mpiga punyeto utatoa wapi icho kiwango ulichopoteza ili ufidie??? ndo hawa miaka 40 mtu kashika mkongojo...... unafupisha maisha yako mpiga punyeto... AMKA....

ACHA PUNYETO......................

iv)Kuzaa watoto punguani, wasio na afya bora, na wenye uwezo mdogo sana wa IQ..

Rejea maelezo yangu hpo juu,, protein inahitajika kwa kiwango kikubwa sana kumjenga mtoto ambaye bado hajatungwa.. Ss ukiwa unapiga punyeto unaweza usifanikiwe kutungisha mimba ama ukafanikiwa lkn manii zako zikiwa na kiwango kidogo sana cha protein.... Ebu nambie wew mpiga puchu, mwili wa mtoto, brain ya mtoto na kila kitu kinachotakiwa kimjenge atakitoa wapi huyu kiumbe?

Usijisifu unatungisha mimba huku mpiga puchu mzuri, au una watoto 10 lkn unapiga puchu, UNAZAA PUNGUANI RAFIKI,,,,, NA WEW NDIE UNAEHARIBU KIZAZI KIJACHO KUKIFANYA KIWE CHA VILAZA,, PUNGUANI,, VICHAA.....

PUNYETO SI RAFIKI KABISA KUJENGA NEXT GENERATION....


v) Punyeto ni dawa za kulevya znazokufanya uwe Teja taratibu....

Kama tunavojua madawa ya kulevya ni addiction drugs ambayo ukiyaendekeza yanaanza kuuongoza mwili yanavyotaka yenyewe,,, yakisema BWIA UNAMBWIA........Punyeto pia ni addictive act ambayo ukiendelea nayo inaanza kuuongoza mwili jinsi inavyotaka,,, Sasa usidhani madhara ya Addiction yeyote ile yanatofautiana..its the matter of time... ""Mpiga nyeto lazima uje kufkia stage umwage udenda"" Amini usiamini.... yan ikikukaa,, af ukiwa unafanya yako kama ilivyoada steem zinakupanda Unatoa udenda kama teja mwingine yeyote wa madawa....!!!! skilazimishi uniamini lakini ukweli lazma tuseme...

WAPIGA PUNYETO WOTE WAENDE SOBBA KUPEWA MSAADA.....!!!!

vi) Punyeto pia inavunja uhusiano na Mungu wako.....!!!

Dhamiri ni Mungu ndani yetu, ingawa wengi hatujui ilo,, unapopiga punyeto unauwa dhamiri yako.... Dhamiri daima inakuongoza kutenda mema, saut unayoiskia ikikukataza kufanya uovu iyo ndio dhamiri ambayo ni sauti ya Mungu mwenyewe,,,,

Wapiga punyeto hii sauti inawakumbusha naamini kila siku unaposhika Dushe lako kabla ya kuanza kulifikicha..na unajifariji ""Napiga leo tu mwisho,, kesho yako maneno hayo hayo had utazeeka,,""

Ss kadiri Dhamiri inavokua disobeyed ndivo inavyokufa na kupotea kabisa ndani yako,,, jaribu kufatilia wapiga nyeto wote hawana Sense ya kutaka kutenda mema ht sku moja,,, ht kwenye jamii si raia wema ht sku moja ...!!! Ingawa wamejificha hatuwaoni,, na ndo mana vitendo vya ajab haviishi,, ushoga, ulawiti, usaliti, ufisadi na mengineyo hayatakaa yaishe......!!!

TUMEUWA DHAMIRI ZETU............!!!



Madhara mengine wengi wanayasema sana ata humu JF sitapenda kurudia......

Nani anakataa kua punyeto si dawa za kulevya???
RC Makonda !!!! Sanua list ya Chaputa.......!!!!!


JAMANI ILI TAIFA LINATUTEGEMEA TULIJENGE, TULIVUSHE HATUA KADHAA,, ILI WANAOKUJA ANGALAU WATAMBUE NA SISI TULIPITA DUNIANI,,,,,,, PUNYETO NI ADUI WA MAENDELEO, HAKI, UTU, na AMANI...........TUMPINGE KADIRI TUWEZAVYO.....


Naomba kuwasilisha.......!!!!
 
Asante mkuu kwa mada nzuri. Point zako nyingi ziko scientific na ni za kweli. Kwa vile hili ni tatizo kubwa hasa kwa vijana wetu, na kwa vile inaonekana una welewa wa kutosha (unless kama ume-plagiarize kutoka mahali), unaonaje ukiandaa mada kuhusu jinsi ya kuachana kabisa na tabia hii once and for all; na ukatoa mbinu za kisayansi kabisa. Utasaidia wengi. Ubarikiwe sana!
843cd7a2efa8672938044bf12f7bb298.jpg
e98db4a059110e68b082fd28c6f882fd.jpg
bd54cacfc4dd8d3773c27ec117f3e4f9.jpg
 
Asante mkuu kwa mada nzuri. Point zako nyingi ziko scientific na ni za kweli. Kwa vile hili ni tatizo kubwa hasa kwa vijana wetu, na kwa vile inaonekana una welewa wa kutosha (unless kama ume-plagiarize kutoka mahali), unaonaje ukiandaa mada kuhusu jinsi ya kuachana kabisa na tabia hii once and for all; na ukatoa mbinu za kisayansi kabisa. Utasaidia wengi. Ubarikiwe sana!
huu ni mwanzo tu mkuu chaputa itabaki story,, Na hii ni mahususi kwa wale wanaoitetea punyeto kwamba imethibika scientifically ni safe,,,"" you are wrong"""

Alaf mimi ni mtaalam wa mambo ya saikoloji,,kwa iyo mtegemee mengi zaid

asante
 
huu ni mwanzo tu mkuu chaputa itabaki story,, alaf mjue kwamba sijacopy mahali na mimi ni mtaalam wa mambo ya saikoloji,,kwa iyo mtegemee mengi zaid

asante
Mungu Akupe nguvu utimize lengo lako. Naomba kwa jina la Yesu mikatale ya tabia hii dhalimu na ikafunguliwe na watu wakaweze kuwekwa huru kutoka katika uraibu huu wa kukatisha tamaa na kujitenga na Mungu. Binafsi nilihangaika na tabia hii sana (5 yrs+) mpaka mwaka juzi nilipoamua kumlilia Mungu sana na kweli Akanisaidia na nikaachana nayo. Nafurahi kusema kuwa kwa kufuata ratiba ya mazoezi mepesi tu na kula vizuri (mboga mboga, matunda na maji kwa wingi) pamoja na kuacha pombe aisee maisha yamebadilika sana. Ukitaka nami naweza kutoa uzoefu wangu katika suala hili huko mbele ya safari. Ni vita tena ya kinyuklia!

Hebu Mungu na Akajidhihirishe kupitia kwako mkuu...
 
Mungu Akupe nguvu utimize lengo lako. Naomba kwa jina la Yesu mikatale ya tabia hii dhalimu na ikafunguliwe na watu wakaweze kuwekwa huru. Binafsi nilihangaika nayo sana mpaka mwaka juzi nilipoamua kumlilia Mungu sana na kweli Akanisaidia na nikaachana nayo. Nafurahi kusema kuwa kwa kufuata ratiba ya mazoezi mepesi tu na kula vizuri (mboga mboga, matunda na maji kwa wingi) pamoja na kuacha pombe aisee maisha yamebadilika sana. Ukitaka nami naweza kutoa uzoefu wangu katika suala hili huko mbele ya safari. Ni vita tena ya kinyuklia!

Hebu Mungu na Akajidhihirishe kupitia kwako mkuu...
karibu Mkuu,, umenigusa sana kwa hili inaonesha ulikua na desire ya kweli kubadilika,, na ukafanikiwa.... Tuungane kwenye hii vita
 
Asante mkuuu binasfi pia huwa.nawashangaa wanao tetea kujichuaa kwakweeli kuna.madhara makubwaa saana saaana
 
Kweli kabisa Mkuu punyeto mbaya sana,Mimi mwenyewe imeniathili sana.nakumbuka nikiwa nasoma seminary mmoja mjini Mbeya kulikua na mashindano ya kupiga punyeto, na Mimi nilikua no 1.lakini ndugu mpaka Leo sina hamu na mwanamke nikichomeka tu dakika 5 ishakojoa.sitaman ata kuoa. Na sijui kama kuna tiba
 
That sh!t is very addictive!! Ni sawa na mvuta ganja au mla ngada, kutoka ni ngumu sana.
 
Wakuu hii kitu ni janga, it's a very addictive once you started it!!
 
Wakuu mimi ni muathirika wa punyeto kwa sasa uwezo wangu ni kagoli kamoja apo mpaka kesho asubuhi ndo ntaweza kubahatisha kengine, nasoma matangazo mengi ya matibabu kwenye vyombo vya habari lakini naogopa kujaribu madawa yasiyotambulika, naombeni msaada.
 
Binafsi Niliwahi Kuwa Muumini Wa Punyeto Kwa Kipindi Kisichopungua Miaka 6, Sasa Nina Miezi 10 sijashiriki huu mchezo tena.
siwezi kuiaminisha umma ya hapa jf kuwa nimeacha kutokana na ugumu wake ulivyo ila natamani nifikie lengo na kusema nimeacha punyeto.
kwa wale wanaopenda kuacha huu mchezo nawashauri yafuatayo,
1. ufanye mwili wako muda wote ujisikie maumivu kwenye misuli na viungo vingine kwa kufanya mazoezi makali kila siku walao kukimbia uwanja mara 10,kuruka kichura umbali mrefu, pushup na yale mazoezi ya kukata tumbo. mwili ukiwa umechoka kwa kufanya mazoezi itasaidia kupunguza hisia za mapenzi, yaani badala ya kufanya punyeto utatamani zaidi kupumzika kitandani kutokana na mwili kuchoka sana,.
lakini pia kupitia mazoezi utaujenga mwili wako vizuri ikiwa ni pamoja na kuimarisha misuli ya uume iliyolegea kutokana na punyeto.

2. Acha Kabisa Kuangalia Picha Na Video Chafu Zinazohamasisha Ngono, Pia Kama Unasite Za X Futa Kabisa Japo Wengi Wetu Huwa Tunasave Hizo Tovuti Kichwani,
 
Naendelea [HASHTAG]#rejea[/HASHTAG] Post Namba 981 nilipoishia.
3. usipende kukaka peke yako, jichanganye kwenye makundi ya watu, ikiwezekana nashauri hata wakati wa kulala/kuoga hakikisha upo na mtu wa kufanana na jinsia yako, ili uone aibu kupiga nyeto.
4.Epuka story za mahaba, huwa zinawashawishi sana punyeto.
5.kama upo kwenye makundi ya whatsapp/fb n.k ya x na ya ujinga mwingine jitoe kabisa.
6.ni vema kumshirikisha mwandani wako (umpendaye naye anakupenda kwa dhati) juu ya tatizo lako, ili naye a-play part yake kama mwanamke, mfano kama yuko mbali asikutumie picha zake za uchi, pia asikubanie sauti pale mnapoongea, maana sauti pia hushawishi punyeto,.

MWISHO HAKUNA DAWA YA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME ITAKAYOKUFAA KAMA UTATUMIA KIPINDI AMBACHO UNAENDELEA KUNYETUKA. ACHA KWANZA PUNYETO, HAFU TAFUTA DAWA YA KURUDISHA UANAUME WAKO.

UKIFIKISHA SIKU 90 TANGU UACHE KUPIGA PUNYETO KUNA VITU UNAWEZA KUFANYA ILI KUIMARISHA ZAIDI UUME WAKO. Nikipata muda nitaendelea kumwaga hapa jamvini.
MUNGU AWABARIKI!
 
Hii itaokoa vijana wengi sana mkuu, itabidi utoe na solution ya hii tatizo
 
Mungu Akupe nguvu utimize lengo lako. Naomba kwa jina la Yesu mikatale ya tabia hii dhalimu na ikafunguliwe na watu wakaweze kuwekwa huru kutoka katika uraibu huu wa kukatisha tamaa na kujitenga na Mungu. Binafsi nilihangaika na tabia hii sana (5 yrs+) mpaka mwaka juzi nilipoamua kumlilia Mungu sana na kweli Akanisaidia na nikaachana nayo. Nafurahi kusema kuwa kwa kufuata ratiba ya mazoezi mepesi tu na kula vizuri (mboga mboga, matunda na maji kwa wingi) pamoja na kuacha pombe aisee maisha yamebadilika sana. Ukitaka nami naweza kutoa uzoefu wangu katika suala hili huko mbele ya safari. Ni vita tena ya kinyuklia!

Hebu Mungu na Akajidhihirishe kupitia kwako mkuu...
Mkuu weka ushuhuda wengi wapone
 
Mkuu weka ushuhuda wengi wapone
Haya mambo siyo ya kupona kwa ushuhuda tu. Ni mambo yanayohitaji dhamira ya kweli na msaada wa Mungu. Ushuhuda wangu nilishauweka hapa. Na vita ya kwanza ni kuacha porn. Ukishindwa vita hii tu ni kama vile ushapoteza Pambano tayari. Porn na punyeto ni uraibu na ni lazima uangaliwe katika jicho hilo!
 
Back
Top Bottom