Punyeto ni nini na nini madhara yake?
[QUOTE="rubii, post: 19859465,
Negligence tu. Mara MTU huyu hapa kafungua mlango.
 
Kama ilivyo kwa jinsia ya kiume, kuna wanawake pia ni wahanga wa kufanya punyeto kwa kutumia vifaa tofauti tofauti.

Haya ni baadhi ya madhara awezayopata mwanamke anayejichua;

1. Inaharibu kizazi

2. Inakufanya kua mvivu mara kwa mara

3. Unakuwa unakosa hamu ya tendo

4. Maumivu ukeni yasiyo na sababu

5. Uke kuwa mlegevu yaani mtepeto

6. Hupelekea uke kutoa maji maji mara kwa mara au maji yale ambayo utoka kabla ya tendo kuto kuwepo ivyo itakufanya kupata michubuko na maumivu makali wakati wa tendo.

7. Uwezi kuja kujua raha ya tendo ukizoea punyeto sana wewe dada.

8. Punyeto inafanya uke wa mwanamke kukosa ladha kabisa hiyo itapelea kukimbiwa na mmeo au mwenzako kutafuta kamchepuko kenye uke mtamu.

9. Na ukizoea punyeto itakufanya kuwa mtu wa hasira hasira kila mara

10. Punyeto ni hatari kwa afya yako pia ukiizoea sana itapekekea kufanya mapenzi ya jinsia moja.
Umebobea!
 
Kuna uzi nilishawahi kusema hii tabia ya kupiga nyeto bila lubricant huwa na madhara makubwa sijajua hiyo ya vipele ila ninayoijua ni damage ya mishipa ambapo hupelekea muwasho ndani ya kichwa cha uume....
Nyeto is sucking achana nayo kabisa
 
we piga tu wasikutishe kaka!
mboni hata baadhi ya vigogo wa "siri Kali" nao wanapigaga!
cha msingi usitumie sabuni zenye kemikali maana dudu itaiva kama nyanya..!
mi huwa napigiaga kondom na nilisha toboa tundu kwenye godoro huwa naingizaga hapo wala sipigii mikono!
# mabadiriko hayaepukiki.
Inna lillah!
 
ww unaye piga punyeto itakuasili kwa sababu unafanya flectional kwa nguvu zaidi na kujichua kwako nikutumia mikono yako tofauti kabisa na anayefanya sex real
 
Back
Top Bottom