LadyAJ
JF-Expert Member
- Oct 21, 2015
- 7,173
- 9,642
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nacheeka kwa dharauWakuu nina wiki sasa kwenye maungio ya miguu kuna uma yani kama kumesagika hivi
Baadhi ya watu waliniambia synovial fluid ambayo ina act kama lubricant itakuwa imepungua kama sio kuisha kabisa kwa sababu ya over masturbation
Msaada wenu tafadhari nifanyaje ili nirude hali yangu ya zamani maana miguu inauma sana