Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Wakuu nina wiki sasa kwenye maungio ya miguu kuna uma yani kama kumesagika hivi

Baadhi ya watu waliniambia synovial fluid ambayo ina act kama lubricant itakuwa imepungua kama sio kuisha kabisa kwa sababu ya over masturbation

Msaada wenu tafadhari nifanyaje ili nirude hali yangu ya zamani maana miguu inauma sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nacheeka kwa dharau
 
Wakuu nina wiki sasa kwenye maungio ya miguu kuna uma yani kama kumesagika hivi

Baadhi ya watu waliniambia synovial fluid ambayo ina act kama lubricant itakuwa imepungua kama sio kuisha kabisa kwa sababu ya over masturbation

Msaada wenu tafadhari nifanyaje ili nirude hali yangu ya zamani maana miguu inauma sana
Usipige umesimama. Kama umelala funga na mbao miguu upande wa joints yaani style ya muhogo ili ukirusha rusha miguu wakati unapwipwi isicheze
 
Wakuu nina wiki sasa kwenye maungio ya miguu kuna uma yani kama kumesagika hivi

Baadhi ya watu waliniambia synovial fluid ambayo ina act kama lubricant itakuwa imepungua kama sio kuisha kabisa kwa sababu ya over masturbation

Msaada wenu tafadhari nifanyaje ili nirude hali yangu ya zamani maana miguu inauma sana
Kula sana makongoro mkuu huku ukimtafuta mtabibu wa hayo matatizo sawa
 
Nenda kamuone daktari wewe, Usije ukaangamia Kwa kukosa maarifa. Unaumwa Alafu unahusisha na punyeto, cku ukija kustuka ulikua ni ugonjwa ushaathirika vya kutosha.
 
Wakuu nina wiki sasa kwenye maungio ya miguu kuna uma yani kama kumesagika hivi

Baadhi ya watu waliniambia synovial fluid ambayo ina act kama lubricant itakuwa imepungua kama sio kuisha kabisa kwa sababu ya over masturbation

Msaada wenu tafadhari nifanyaje ili nirude hali yangu ya zamani maana miguu inauma sana
Gonga kongoro la kitimoto kila siku jion
 
Wala sio punyeto utakuwa na matatizo mengine we kunywa supu ya kongoro wiki tu utapona
 
Ila jamani nyeto ni tamu sana kuicha kama umeshaionja ni ngumi sana!!
 
Habari za saa hii wana JF,

Mimi ni mmoja wa member wa CHAPUTA kwa muda wa takribani miaka miwili sasa.
Sasa leo asubuhi nilipokuwa nikipiga punyeto nikashangaa kuona badala ya shahawa kutoka yakatoka maji maji hivi kama gundi.

Sasa wadau hapa naweza kuwa na tatizo lipi na mpaka umri huu sijawahi kukutana kimwili na mwanamke yoyote.
 
Back
Top Bottom