Mkwawe
JF-Expert Member
- Jun 10, 2016
- 3,132
- 5,508
kwa kweli kama utaweza kumsaidia msaidie huyo jamaa..huo ni ugonjwa. ni pm nikusaidie uache
punyeto inatesa mno kuliko mtu mwingine anavyoweza kudhani yeye kwa miaka 18 anapiga nyeto tayari ishakuwa kwenye mfumo wake wa fahamu
nimewashuhudia wengi sana wakiteswa na punyeto, sio jambo la masihara kama wachangiaji wengine wanavyodhihaki
msaidie ndugu yetu