Punyeto ni nini na nini madhara yake?
huo ni ugonjwa. ni pm nikusaidie uache
kwa kweli kama utaweza kumsaidia msaidie huyo jamaa..
punyeto inatesa mno kuliko mtu mwingine anavyoweza kudhani yeye kwa miaka 18 anapiga nyeto tayari ishakuwa kwenye mfumo wake wa fahamu
nimewashuhudia wengi sana wakiteswa na punyeto, sio jambo la masihara kama wachangiaji wengine wanavyodhihaki
msaidie ndugu yetu
 
asikukatishe tamaa unaweza kuacha KWA JINA LA YESU
weka nia thabiti ya kuacha
zingatia haya
1.epuka kukaa peke yako na kufikiria sana
2.jishughulishe sana shughuli mbalimbali ambazo zitakufanya uwe busy muda wote
3.fanya mazoezi yawe kama sehemu yako ya maisha kila siku na iwe zaidi ya mara moja, yawe mazoezi magumu ya kuchosha mwili
4.tafuta kile ambacho unakipendelea sana kama hobby yako utilie maana kwa mfano, muziki kwa sana, au kama we ni mpenzi wa mpira angalia mpira sana hamisha akili yako yote huko
5.anza kuhudhuria ibada na kujihusisha na masuala ya kiimani
HAKIKA UTAPONA zingatia haya
 
Pole mkuu, nakushauri usiyafikirie Sana mapenzi ,yaani ji keep bize
 
Huu mchezo niliuanza wakati nipo primary wakati ule tunakwenda kuchek movie za kihindi kwenye mabanda ya video,basi navizia usiku mida ya SAA 4,natoroka home nakwenda kucheki movie za x,nimepiga nyeto mpaka namaliza form6,,,baadaye niliona ni ubwege kupiga nyeto,nikatafuta girlfriend,ikawa kama nimejichongea kwani ndio napiga nyeto ya kufa mtu,asubuh,mchana usiku,,,sina raha na hii kitu.punyeto a.k.a nyeto
Mweny acha nipge kmoja nalud kuchangia
 
Kikubwa ni maamuzi, fanya maamuzi magumu na sahihi kuhusu punyeto,
Muombee mungu akusaidie naamini tatizo litaisha.
 
Una bahati kweli
Kuna jamaa alikuwa kama wewe, ila kwenye harakati za kujichua akashangaa kuona upepo umetoka na baadaye mapovu.
Mpaka hataki kusikia neno kujichua.
 
Kama unaamini katika Dini Islamu au Kristo, nenda kwenye nyumba za ibada, tena kwa bidii hasa, muombe Mungu, akuepushe na hiyo tabia, itakukosesha kuwa na familia, ama mke, kuna kipindi utakuja jutia kabisa, mke hutoweza kumtimizia vizuri, nae hataweza kukuvumilia kipindi chote cha ndoa yenu. Naomba uwache kabisa hiyo kitu, kama umenza kujitegemea uwe na mpenzi wako, kila hali hiyo inapotokea aje akupoze, hatimae utasahau tu.
 
Hii ni baada ya kuona madhara yake
1. Goli moja chalii
2. Mwili kudhoofu ,
3. Uti wa mgongo kuuma
4. Mawazo kedekede ,
5. Kuchukia wasichana walio nikataa kushiriki nao tendo
6. Matatizo ya akili kama mwendawazimu

Ni hayo tuu ila mengine nimeyaacha maana siyo mazuri
Baada ya yote ninapenda kushukuru kwa yote hasa wale girls walo nitosa na kupelekea mimi kuji-selfie. Ndugu zangu wanaume ACHANENI NA PUNYETO NI HATARI SANA KWA AFYA.
Ni hayo tuu kwa leo.
 
Back
Top Bottom