Hiyo ni hari inayojitokeza kwa mwanaume hasa pale unapokuwa na wacwac au woga! Ukihingiwa na hofu hata kwa dawa huwez kucmamisha! Na historia inajionesha kuwa bado ni mgeni katika mmb hayo hivyo bado unaogopa.ushauri,jiamini chukua muda kabla ya tendo lenyewe ili upate muda wa kumzoea mwenzio. Na jipe maandalizi binafsi lakini pia muandae mwenzio au muandaane ili kuleta hisia karibu na kufanya tendo huku akili zenu zikiwa katika hiyo hari ya kujamiiana. Fanya hayo, utapata matokeo mazuri. Wengi tumetokea huku.
Sent using
Jamii Forums mobile app