Yaani ili halifichiki, wanaume wengi sana hasa vijana wanapenda sana haka kamchezo, we unafikiri ni kwanini.
Tupe maoni yako
FAIDA ZA UPIGAJI PUNYETO,
Watu wengi sana wanataka kufahamu jinsi gani wafanye ili kuachana na kitendo cha upigaji punyeto.
Punyeto ni tendo la mtu la kuamsha hisia za mapenzi au msisimko ambao unampelekea mtu huyu kufikia kilele cha kujimalizia tamaa zake! Bila kufanya tendo halisi, hutumia fikra zake katika picha za zinazoitwa za ngono au picha zozote
zinazoweza kulifanikisha tendo hilo, movie n.k. Kilele cha yote anafikia mahali anajimalzia tamaa zake mwenyewe!. Nimekuwa nikiona baadhi ya watu wanaosema wameelimika wakipingana wao kwa wao katika suala zima la kupiga
punyeto! Wako wanaotetea kutokana na elimu yao na wanasema kwa ujasiri mkubwa kwamba "kupiga punyeto ni sehemu ya maisha ya mwanadamu" Ina maana katika maisha ya mwanadamu upigaji punyeto inaelezwa ni kama tendo la lazima mpaka inafikia mahali wanasema ni sehemu ya maisha (Maisha) ya mwanadamu.
Nimekuwa nikipata kesi nyingi sana juu ya madhara yatokanayo na punyeto. Aslimia 60 ya vijana wenye umri kuanzia miaka 15 hadi 30 wameathirika na tatzo hili (chronic masturbation) na inakuwa ngumu kujinasua kutoka kwenye hili janga, kama wewe ni mmoja wapo na ulkuwa ukitafuta kwa mda mrefu ufanye nini ili uachane na tabia ya kupiga punyeto basi fatilia kwa makini makala hii.
FAIDA ZA UPIGAJI PUNYETO KWA MWANAUME
Haya ndio baadhi ya Faida za upigaji wa Punyeto kimwili ambayo yanaletekezwa na upigaji punyeto
1.
PUNYETO INAUA NGUVU ZA KIUME:
Upigaji wa punyeto unaweza kusababisha upungufu wa nguvu za kiume, kwani kipindi unapiga punyeto jua ile mishipa inayofanya uume usimame unakuwa unaichua na uume unakuwa umesimama kwa muda mrefu sasa ikitokea ukawa unafanya hivi kila siku ile mishipa inalegea na uume unakuwa unakosa nguvu hata ukisimama haui strong unakuwa kama umelegea.
2.
KUWAHI KUMALIZA MAPEMA KATIKA TENDO:
Mara nyingi mtu aliezoea kupiga punyeto huwahi kumaliza mapema pindi akiwa anafanya tendo la ndoa na wakati mwingine uume hushindwa kusimama kwa mara ya pili na kujikuta anashindwa kurudia tendo ikiwa mwenzake bado hajaridhika na anahitaji kuendelea kufanya tendo hilo.
.Athari nyingine ni kama zifuatazo
3.Uchovu wakati wote / Fatigue. Feeling tired all the time.
4.Maumivu ya nyonga / Lower back pain.
5.Kusinyaa kwa Nywele / Nywele kunyonyoka / Thinning hair / Hair Loss
6.Maumivu ya kende
7.Maumivu ya kiuno
8.Uume kusinyaa na kuregea wakati wote.
Hayo ni baadhi ya nukuu zangu!