Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.

jaman nimekua adicted,nlikua cna tabia hyo ila nimekuja jaribu hata kuacha cwez,demu wangu yupo mbali nami na ctaki kumsaliti,imefikia mahal hata nkiwa na demu wangu la kwanza fresh ila mengne navutia hsia masta yangu,pamoja na thara hli nlishaliona,yapi mathara mengne ya haka kamchezo kangu wana jf?niacheje!?nawakilisha.
jaman nimekua adicted,nlikua cna tabia hyo ila nimekuja jaribu hata kuacha cwez,demu wangu yupo mbali nami na ctaki kumsaliti,imefikia mahal hata nkiwa na demu wangu la kwanza fresh ila mengne navutia hsia masta yangu,pamoja na thara hli nlishaliona,yapi mathara mengne ya haka kamchezo kangu wana jf?niacheje!?nawakilisha.
Demu wako yupo mbali na hutaki kumsaliti!..........jaman nimekua adicted,nlikua cna tabia hyo ila nimekuja jaribu hata kuacha cwez,demu wangu yupo mbali nami na ctaki kumsaliti,imefikia mahal hata nkiwa na demu wangu la kwanza fresh ila mengne navutia hsia masta yangu,pamoja na thara hli nlishaliona,yapi mathara mengne ya haka kamchezo kangu wana jf?niacheje!?nawakilisha.
jaman nimekua adicted,nlikua cna tabia hyo ila nimekuja jaribu hata kuacha cwez,demu wangu yupo mbali nami na ctaki kumsaliti,imefikia mahal hata nkiwa na demu wangu la kwanza fresh ila mengne navutia hsia masta yangu,pamoja na thara hli nlishaliona,yapi mathara mengne ya haka kamchezo kangu wana jf?niacheje!?nawakilisha.
Mkuu hauko mwenyewe,....
haina madhara makuuubwa sana kiafya,ila kisaikolojia yapo sana tu.
Lakini tusiangalie tu kiafya na kisaikolojia,tuangalie na kiimani,je ni sahihi?
ni topic ndefu kidogo,lakini kwa ufupi tu,tendo hilo linahusisha sana mawazo yako,...
kwa mfano,ukiwa unalifanya lazima uwe na picha ya mtu katika mawazo yako,..
utajenga picha jinsi alivo n.k,........
Hiyo picha + tendo unalofanya kwa pamoja vinaitwa "Lust" kwa kizungu,....au "tamaa ya kimapenzi" kwa kiswahili.
Na kwa definition ya lust,..."it's a choice to commit in your mind what you would like to do with your body"
kwa maana hiyo basi,hakuna tofauti na tendo lenyewe katika msingi ya kiimani,....
kwa kifupi,kiimani ni makosa makubwa sana,kama unasoma bible soma marko7:21-23
lakini pia,ukweli ni kwamba nyuma ya kila tendo,kuna mawazo.
nyuma ya kujichua kuna mawazo ya ngono,....point ya muhimu ni kupigana na
hayo mawazo na sio kupingana nayo.(niko sahihi hapa)
Kupigana nayo ni kwa kubadilisha channel ndani ya akili/mawazo yako na kwenda katika kitu
kingine kabisaa tofauti na ngono,..au jichanganye na watu wengine kama unaweza,...au lala kabisa.
Mara nyingi nilipo kua najichua ilikua ni kwa sababu:-
*niko mwenyewe
*naangalia picha/video za ngono
ni rahisi sana kuacha,fanya mazoezi sana,...na usipende kuwa mwenyewe unapopata mawazo
ya ngono,....
Mwisho,jenga hofu ya Mungu ndani yako,...itakusaidia ingawa bado sote ni binadamu
na hata tukijenga hofu ya Mungu bado tunasahau na kuanguka mara nyingine.

BBC Wanaeleza hivi:

Punyeto

Ni nini?

Kufanya au kupiga punyeto, ni

tendo la kutomasa sehemu

zako mwenyewe za siri ili

kujisisimua kimapenzi.

Kwa hivyo katika kupiga

punyeto hamna hofu ya

kuambukizwa magonjwa

yanayosambazwa kupitia

ngono, kwani haimshirikishi

mtu mwengine.

Punyeto ni toshelezo kamili la

kimapenzi kama utatumia njia

mbali mbali za kujitomosa na

kujipa papasa ya

kujistarehesha.

Hakuna mtu anayezaliwa akijua

jinsi mwili wake unavyoitikia

msisimko wa kimapenzi.

Inakubidi kujifunza kwa

majaribio salama.

Na, kwa vile kila mtu yuko

tofauti, njia nyengine ya kujua

jinsi unavyoweza

kumstarehesha mpenzi wako,

ni kujifunza kutoka kwako

mwenyewe.

Shughulika zaidi na sehemu

ambazo zinasisimka kwa

urahisi.

Unaweza kufikia kilele cha

starehe yako kwa kuitomasa

tomasa mboo au kisimi, lakini

kutakupa hamu kubwa na

ashiki, na kufikia kutoshelezwa

vya kutosha, kama utapapasa

pia sehemu nyenginezo za

mwili wako.

Kwa nini punyeto huonekana

kuwa makosa?

Msimamo wa dini nyingi na

watu wengi ni kuwa punyeto

ni dhambi, mwiko, jambo

lililokatazwa, jambo

lisilokubalika kabisa.

Lakini wanasanyansi wanasema

ni jambo salama kiafya na

dhana zilizopo kulihusu, ni

imani za kibinafsi na chaguo la

mtu.

Wanaume wengi na wanawake

hupiga punyeto maishani

mwao, kwa sababu huwafanya

wakajisikia vizuri na huondoa

dhiki za mihemko ya

kimapenzi bila kujiingiza katika

ngono na mtu mwengine.

Pia hofu ya kuambukizwa

magonjwa ya zinaa, ikiwemo

virusi vya HIV ni kichocheo

tosha kinachopelekea baadhi

ya watu kupiga punyeto.

Lakini kuna sehemu wanaeleza

hivi:

Punyeto (kujitoa manii kwa

mkono):

Punyeto ni: Dhana

inayowakilisha tendo la

kujitoa/kushusha manii kwa

njia isiyo jimai. Kupiga punyeto

kwa kutumia kiungo/zana yo

yote ile ni tendo la haramu

mbele za Mafaqihi walio

wengi. Na hiyo ndio kauli ya

Mafaqihi wa madhehebu ya

Imamu Maalik, Shaafiy na Abu

Haniyfah. Lakini uharamu wa

punyeto mbele zao uko chini

ya uharamu wa zinaa; yaani

zinaa ni haramu zaidi kuliko

punyeto ingawa vyote ni

haramu. Kwa muono wao huu,

lau mtu ataangukia katika

mtelezo wa kutenda mojawapo

ya haramu mbili hizi; zinaa na

punyeto. Basi hapana

makindano kwamba aegemee

zaidi janibu ya punyeto ili

kuilinda nafsi yake dhidi ya

uchafu wa zinaa. Atafanya

hivyo kwa mazingatio ya

msingi wa Fiq-hi usemao:

lenye madhara khafifu baina

ya yenye madhara mawili na

lenye shari kidogo baina ya

yenye shari mawili.

Ama madhehebu ya Imamu

Ahmad na maimamu

wengineo-Allah awarehemu-ni

kuhalalisha punyeto kwa

kuizingatia kuwa ni nyenzo

inayoweza kumsaidia muhusika

kujikinga na zinaa. Na wala

hapa hatukusudii na wala

hatuna nafasi ya kutaja

mkururo wa dalili za kauli mbili

hizi; haramishi ya kundi kubwa

na ile halalishi ya kundi dogo.

Bali tunalazimika na kutosheka

na kuashiria kwamba

waliosimamia kauli ya uhalali.

Hawakusema hivyo ila ni kwa

sababu wameona tendo hili

linampa kinga ya kiasi fulani

mwanadamu dhidi ya kutenda

uchafu na uoza wa zinaa. Hili

ndilo walilolizingatia na

kulijengea kauli yao hii ya

uhalali, lakini hapo hapo

hawalioni tendo hili kuwa ni

halali iwapo litageuzwa kuwa

ndio ada/desturi na mazoea ya

mtu. Akawa analifanya zoezi

hili kwa kuendelea kiasi cha

kuifanya punyeto kuwa

maradhi ya nafsi/siha. Kwa

sababu hakuna hata

mwanachuoni mmoja

anayehalalisha madhara hata

kama hicho chenye kudhuru

kilikuwa halali katika asili yake.

Mathalan tendo la kula, asili

yake ni halali na wakati

mwingine huwa ni wajibu kwa

kiwango cha dharura/ulazima

wa kuhifadhi uhai. Lakini tendo

hili hili linaweza likawa haramu

pale mtu atakapokula zaidi ya

uweza/shibe yake na

akasababisha kuidhuru nafsi

yake. Kwa msingi wa maelezo

haya basi, hapana makindano

baina ya maulamaa wetu-Allah

awarehemu-katika suala zima

la kuharamisha punyeto. Kwa

sababu tendo hili linaidhuru

kano/mishipa ya nguvu ya

muendekeza tendo hilo na

kulifanya kuwa ndio mchezo

wake. Kama linavyoudhuru

mfumo mzima wa viungo

vyake vya uzazi (reproductive

system) na afya yake kwa

ujumla. Kwa hivyo basi, si

Imamu Ahmad wala imamu

mwingine anayehalalisha kile

kinachosababisha madhara kwa

hali yo yote. Kwa mapenzi

mema kabisa, tunawasihi na

kuwanasihi vijana wetu wa

kiume na wale wa kike

kutoendekeza zoezi hili la

kujitoa manii kwa njia isiyo ya

jimai. Tena waache kabisa hata

kufikiria kulitenda, kwa sababu

tendo hilo ni hatari kwa afya

zao.

Mwanachuoni mkubwa; Sheikh

Muhammad Al-Haamid-Allah

amrehemu-katika kitabu chake

{RUDUUDUN ALAL-

ABAATWIYL}, ametaja

maneno kima kuhusiana na

maudhui hii, tunamnukuu:

Hakika tene (kichwa cha

dhakari) ina hisia kali sana na

hapo ndipo patokapo hisia (za

raha na ladha) wakati wa

tendo la jimai kwenda kwenye

kifuko cha manii (spermatic

vesicle). Na kusababisha

kijibinye ili kitoke humo kiasi

fulani cha manii na

kuchanganyika na kitu

kinachoitwa prostate gland.

Na hapo katika mchanganyo

huo ndipo huundika

mmiminiko maji huu ambao

kutoka kwake huzipoza na

kuzituliza shahawa/ashiki/

matamanio. Sasa basi mtu

atakapodumu na zoezi la

kuichezea dhakari yake, ngozi

ya tene huwa ngumu na

kusababisha kudhoofika kwa

nguvu-hisia zake. Na

kuyafanya manii kutoka bila ya

kuchanganyika na ute wa

prostate ambao una athari

na mchango mkubwa katika

kutuliza kiamshi-shahawa. Kwa

hivyo basi manii yanapokuwa

hayakuchanganyika na ute

huo, kupoa kwa shahawa huwa

ni kwa muda mfupi tu, kisha

huamka tena kwa nguvu

kubwa. Kwa ajili hii

humlazimisha mpiga punyeto

kupiga tema mara ya pili,

tatu.... na kama hivi. Mpaka

mwishowe humwaga damu

(badala ya manii), kwa sababu

ya kumaliza kabisa kile

kiitwacho spermatic cord/

funiculus na kuudhoofisha

kwake mfumo-uzazi kutokana

na wingi wa kupiga punyeto.

Kinachotokea kutokana na

udhaifu wa hisia wa tene kwa

sababu ya wingi wa kupiga

punyeto: Ni kwamba mwenye

kuzoea kupiga punyeto,

hutokezea akashindwa kufanya

jimai kwa namna anayoweza

kufanya mtu asiyefanya

mchezo huo. Hii ni kwa sababu

tene iliyodhoofika kutokana na

wingi wa kupiga punyeto

haiathiriki (na tendo la jimai)

kwa kiwango kihitajiwacho

kutokana na msuguano ndani

ya uke. Kwa hivyo basi hawezi

kushusha manii ila kwa

kujichua na mkono. Ndani ya

tendo hilo kuna madhara kwa

nafsi yake na mkewe ambaye

ana haki ya kutoshelezwa nae

(ili asifikirie/kufanya machafu)

kwa jimai halali. Mwisho wa

kumnukuu sheikh-Allah

amrehemu.

Kwa kuungia maneno kima

haya ya sheikh tunaongezea:

Kwamba manii ni kimiminika

muhimu mno cha mwili na

mfumo mzima wa uzazi. Chini

ya maana hii Muingereza Dr.

Mary Stoubis anasema katika

kitabu chake {MARRIED LOVE}

: Kwa yakini mchanganuo wa

kikemia wa kimiminika hiki

manii, umedhihirisha kwamba

pamoja na vitu vingine

unahodhi kiwango kikubwa cha

phosphoric acid na calcic

acid. Na zote mbili hizi ni

maada kima zenye taathira

adhimu katika ujenzi wetu wa

kimwili (kama wanadamu). Hili

likisihi (kuwa sahihi), basi kwa

hakika kosa kubwa

analolifanya mwanadamu ni

kudhania kuwa maada manii ni

kitu ambacho kunasihi

kujitakasa nacho baina ya

kipindi kifupi na kingine. Na

kuimwaga hovyo bila ya

malengo na kuona haja ya

kuihifadhi.

Ni mazuri yaliyoje maneno ya

mshairi huyu anayesema na

vijana:

{Yahifadhi manii yako kiasi

uwezavyo kwani hayo *** Ni

maji ya uhai yamwagwayo

katika matumbo ya uzazi}.

BBC Wanaeleza hivi:

Punyeto

Ni nini?

Kufanya au kupiga punyeto, ni

tendo la kutomasa sehemu

zako mwenyewe za siri ili

kujisisimua kimapenzi.

Kwa hivyo katika kupiga

punyeto hamna hofu ya

kuambukizwa magonjwa

yanayosambazwa kupitia

ngono, kwani haimshirikishi

mtu mwengine.

Punyeto ni toshelezo kamili la

kimapenzi kama utatumia njia

mbali mbali za kujitomosa na

kujipa papasa ya

kujistarehesha.

Hakuna mtu anayezaliwa akijua

jinsi mwili wake unavyoitikia

msisimko wa kimapenzi.

Inakubidi kujifunza kwa

majaribio salama.

Na, kwa vile kila mtu yuko

tofauti, njia nyengine ya kujua

jinsi unavyoweza

kumstarehesha mpenzi wako,

ni kujifunza kutoka kwako

mwenyewe.

Shughulika zaidi na sehemu

ambazo zinasisimka kwa

urahisi.

Unaweza kufikia kilele cha

starehe yako kwa kuitomasa

tomasa mboo au kisimi, lakini

kutakupa hamu kubwa na

ashiki, na kufikia kutoshelezwa

vya kutosha, kama utapapasa

pia sehemu nyenginezo za

mwili wako.

Kwa nini punyeto huonekana

kuwa makosa?

Msimamo wa dini nyingi na

watu wengi ni kuwa punyeto

ni dhambi, mwiko, jambo

lililokatazwa, jambo

lisilokubalika kabisa.

Lakini wanasanyansi wanasema

ni jambo salama kiafya na

dhana zilizopo kulihusu, ni

imani za kibinafsi na chaguo la

mtu.

Wanaume wengi na wanawake

hupiga punyeto maishani

mwao, kwa sababu huwafanya

wakajisikia vizuri na huondoa

dhiki za mihemko ya

kimapenzi bila kujiingiza katika

ngono na mtu mwengine.

Pia hofu ya kuambukizwa

magonjwa ya zinaa, ikiwemo

virusi vya HIV ni kichocheo

tosha kinachopelekea baadhi

ya watu kupiga punyeto.

Lakini kuna sehemu wanaeleza

hivi:

Punyeto (kujitoa manii kwa

mkono):

Punyeto ni: Dhana

inayowakilisha tendo la

kujitoa/kushusha manii kwa

njia isiyo jimai. Kupiga punyeto

kwa kutumia kiungo/zana yo

yote ile ni tendo la haramu

mbele za Mafaqihi walio

wengi. Na hiyo ndio kauli ya

Mafaqihi wa madhehebu ya

Imamu Maalik, Shaafiy na Abu

Haniyfah. Lakini uharamu wa

punyeto mbele zao uko chini

ya uharamu wa zinaa; yaani

zinaa ni haramu zaidi kuliko

punyeto ingawa vyote ni

haramu. Kwa muono wao huu,

lau mtu ataangukia katika

mtelezo wa kutenda mojawapo

ya haramu mbili hizi; zinaa na

punyeto. Basi hapana

makindano kwamba aegemee

zaidi janibu ya punyeto ili

kuilinda nafsi yake dhidi ya

uchafu wa zinaa. Atafanya

hivyo kwa mazingatio ya

msingi wa Fiq-hi usemao:

lenye madhara khafifu baina

ya yenye madhara mawili na

lenye shari kidogo baina ya

yenye shari mawili.

Ama madhehebu ya Imamu

Ahmad na maimamu

wengineo-Allah awarehemu-ni

kuhalalisha punyeto kwa

kuizingatia kuwa ni nyenzo

inayoweza kumsaidia muhusika

kujikinga na zinaa. Na wala

hapa hatukusudii na wala

hatuna nafasi ya kutaja

mkururo wa dalili za kauli mbili

hizi; haramishi ya kundi kubwa

na ile halalishi ya kundi dogo.

Bali tunalazimika na kutosheka

na kuashiria kwamba

waliosimamia kauli ya uhalali.

Hawakusema hivyo ila ni kwa

sababu wameona tendo hili

linampa kinga ya kiasi fulani

mwanadamu dhidi ya kutenda

uchafu na uoza wa zinaa. Hili

ndilo walilolizingatia na

kulijengea kauli yao hii ya

uhalali, lakini hapo hapo

hawalioni tendo hili kuwa ni

halali iwapo litageuzwa kuwa

ndio ada/desturi na mazoea ya

mtu. Akawa analifanya zoezi

hili kwa kuendelea kiasi cha

kuifanya punyeto kuwa

maradhi ya nafsi/siha. Kwa

sababu hakuna hata

mwanachuoni mmoja

anayehalalisha madhara hata

kama hicho chenye kudhuru

kilikuwa halali katika asili yake.

Mathalan tendo la kula, asili

yake ni halali na wakati

mwingine huwa ni wajibu kwa

kiwango cha dharura/ulazima

wa kuhifadhi uhai. Lakini tendo

hili hili linaweza likawa haramu

pale mtu atakapokula zaidi ya

uweza/shibe yake na

akasababisha kuidhuru nafsi

yake. Kwa msingi wa maelezo

haya basi, hapana makindano

baina ya maulamaa wetu-Allah

awarehemu-katika suala zima

la kuharamisha punyeto. Kwa

sababu tendo hili linaidhuru

kano/mishipa ya nguvu ya

muendekeza tendo hilo na

kulifanya kuwa ndio mchezo

wake. Kama linavyoudhuru

mfumo mzima wa viungo

vyake vya uzazi (reproductive

system) na afya yake kwa

ujumla. Kwa hivyo basi, si

Imamu Ahmad wala imamu

mwingine anayehalalisha kile

kinachosababisha madhara kwa

hali yo yote. Kwa mapenzi

mema kabisa, tunawasihi na

kuwanasihi vijana wetu wa

kiume na wale wa kike

kutoendekeza zoezi hili la

kujitoa manii kwa njia isiyo ya

jimai. Tena waache kabisa hata

kufikiria kulitenda, kwa sababu

tendo hilo ni hatari kwa afya

zao.

Mwanachuoni mkubwa; Sheikh

Muhammad Al-Haamid-Allah

amrehemu-katika kitabu chake

{RUDUUDUN ALAL-

ABAATWIYL}, ametaja

maneno kima kuhusiana na

maudhui hii, tunamnukuu:

Hakika tene (kichwa cha

dhakari) ina hisia kali sana na

hapo ndipo patokapo hisia (za

raha na ladha) wakati wa

tendo la jimai kwenda kwenye

kifuko cha manii (spermatic

vesicle). Na kusababisha

kijibinye ili kitoke humo kiasi

fulani cha manii na

kuchanganyika na kitu

kinachoitwa prostate gland.

Na hapo katika mchanganyo

huo ndipo huundika

mmiminiko maji huu ambao

kutoka kwake huzipoza na

kuzituliza shahawa/ashiki/

matamanio. Sasa basi mtu

atakapodumu na zoezi la

kuichezea dhakari yake, ngozi

ya tene huwa ngumu na

kusababisha kudhoofika kwa

nguvu-hisia zake. Na

kuyafanya manii kutoka bila ya

kuchanganyika na ute wa

prostate ambao una athari

na mchango mkubwa katika

kutuliza kiamshi-shahawa. Kwa

hivyo basi manii yanapokuwa

hayakuchanganyika na ute

huo, kupoa kwa shahawa huwa

ni kwa muda mfupi tu, kisha

huamka tena kwa nguvu

kubwa. Kwa ajili hii

humlazimisha mpiga punyeto

kupiga tema mara ya pili,

tatu.... na kama hivi. Mpaka

mwishowe humwaga damu

(badala ya manii), kwa sababu

ya kumaliza kabisa kile

kiitwacho spermatic cord/

funiculus na kuudhoofisha

kwake mfumo-uzazi kutokana

na wingi wa kupiga punyeto.

Kinachotokea kutokana na

udhaifu wa hisia wa tene kwa

sababu ya wingi wa kupiga

punyeto: Ni kwamba mwenye

kuzoea kupiga punyeto,

hutokezea akashindwa kufanya

jimai kwa namna anayoweza

kufanya mtu asiyefanya

mchezo huo. Hii ni kwa sababu

tene iliyodhoofika kutokana na

wingi wa kupiga punyeto

haiathiriki (na tendo la jimai)

kwa kiwango kihitajiwacho

kutokana na msuguano ndani

ya uke. Kwa hivyo basi hawezi

kushusha manii ila kwa

kujichua na mkono. Ndani ya

tendo hilo kuna madhara kwa

nafsi yake na mkewe ambaye

ana haki ya kutoshelezwa nae

(ili asifikirie/kufanya machafu)

kwa jimai halali. Mwisho wa

kumnukuu sheikh-Allah

amrehemu.

Kwa kuungia maneno kima

haya ya sheikh tunaongezea:

Kwamba manii ni kimiminika

muhimu mno cha mwili na

mfumo mzima wa uzazi. Chini

ya maana hii Muingereza Dr.

Mary Stoubis anasema katika

kitabu chake {MARRIED LOVE}

: Kwa yakini mchanganuo wa

kikemia wa kimiminika hiki

manii, umedhihirisha kwamba

pamoja na vitu vingine

unahodhi kiwango kikubwa cha

phosphoric acid na calcic

acid. Na zote mbili hizi ni

maada kima zenye taathira

adhimu katika ujenzi wetu wa

kimwili (kama wanadamu). Hili

likisihi (kuwa sahihi), basi kwa

hakika kosa kubwa

analolifanya mwanadamu ni

kudhania kuwa maada manii ni

kitu ambacho kunasihi

kujitakasa nacho baina ya

kipindi kifupi na kingine. Na

kuimwaga hovyo bila ya

malengo na kuona haja ya

kuihifadhi.

Ni mazuri yaliyoje maneno ya

mshairi huyu anayesema na

vijana:

{Yahifadhi manii yako kiasi

uwezavyo kwani hayo *** Ni

maji ya uhai yamwagwayo

katika matumbo ya uzazi}.