Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliomba ushsuri wakuu wameniambia sio vizuri so nimekaa kando!EWEMKAKA vipi.. ulisha ulishamdunga kitu yule mke wa yule friendie aliyekuomba umtengenezee mkewe..
Ni mwaka wa 4 sasa najitahidi niache ila nashndwa ata nikipata mwanamke naona hana ladha nisaidieni wakuu!
Endelea kujichua hadi uoe.
Wewe unajichua?
Ndiyo.
Yako tamu?
Umenena. Siongezi neno.Hilo ni pepo la ngono. Nenda kwenye maombi ukaombewe. Soma vitabu vya Mungu, hudhuria ibadani, na kwenye semina ya neno la Mungu. Hiyo ndo dawa pekee ya ugonjwa wako.
niliomba ushsuri wakuu wameniambia sio vizuri so nimekaa kando!