Punyeto ni nini na nini madhara yake?
maomba mnisaidie kama ni kweli kuwa punyeto haina madhara kama wanavyodai wataalam mbalimbali
 
haina kaka,madhara yake utakuwa umezini na hivyo kutenda dhambi kaka na c vnginevyo kama wanavyosema kwani naamini ule msemo usemao 'no research no right to speak'
 
Nyeto bwana mdogo sio nzuri kwa afya yako, ina madhara mengi tu hususani suala la kupungua kwa nguvu zakiume.
 
Vp Jlo yule manamuziki anaweza eeeh, najua utakuwa hujamwacha wewe!
 
Nilisoma mahali kwamba kati ya wanaume 10 tisa wanakiri kupiga punyeto na huyo mmoja aliyebakia ni mwongo!
 
  • Thanks
Reactions: rom
Punyeto za nini nyie, mbona tumejaa kibao. wanaume wa siku hizi madomo zege!!

Hamsomeki sasa,wengine mpaka soli za viatu vimeisha,kisa kufukuzia dem miezi 4,hapo unategemea nin Prof Eng?kitakachofuata ni kupiga nyeto tu!raha jipe mwenyewe.
 
Hamsomeki sasa,wengine mpaka soli za viatu vimeisha,kisa kufukuzia dem miezi 4,hapo unategemea nin Prof Eng?kitakachofuata ni kupiga nyeto tu!raha jipe mwenyewe.

;-D naskia hata madem wenyewe pia wanapiga nyeto
 
Back
Top Bottom