Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Wana jf naogopa sana waschana.kuna faida na hasara zipi kama nikipiga puli
 
Saikologia ndo unakuwa si mzima, bcs unaweza ukapoteza uwezo wako pindi utakapooa, na unaweza usitamani kuoa.
 
Mzee kwa haraka hiyo kitu ni kama bombaaa kwani hutongozi,hulipii kitanda n.k. Lakini ikikolea ni utumwa wa ajabu sana.Yaani unaweza ukamwacha demu kitandani ukamfata mpenzi revola bafuni.MBAYA SANA. Mpaka leo namlaumu jamaa aliyeniintrodyuzi kwa hii kitu miaka ya 1990. Imagine!
 
Mishipa ya damu kwenye paipu itasinyaa na paipu itakuwa legelege yAani unaweza ukashangaa haiingii vzr kwny shimo na kupoteza uwezo wa kusugua kutakakopelekea mwenzi wako asisikie chochote na pia utakuwa unawahi kukojoa na mwisho utakuwa unapenda sana besheni kuliko k so jiepushe nayo ni ugonjwa mbaya sana
 
Ninachowapendea wana JF ni kuwa ukitoa hoja wanakushauri ipasavyo, idumu JF.
 
Kupungua kwa nguvu za kiume, na kupelekea ugumba hasa unapopiga mara 2/3 kwa cku, japo kn mazoez maalum ya kurudisha nguvu za kiume na kufanya uume kuwa imara.
 
Aisee kisaikologia inaharibu sanaaaa.
Hakika utakuwa hujiamin kamwe huwa inaondoa sana ujasiri wa mwanaume.

Utadumaa kiakiri ,huwezi kuwa na elim ya mapenzi unaweza ukashindwa kbs hata kuongea na mwanamke.
 
Too much masturbation may lead to a reduced response to other people's touch.
Possible side effect include abrasions or swelling of the penis.
Compulsive/habitual masturbation can be a problem if it affects other aspects of your life.
So mkuu if possible acha na usiwaze kabisa maana ukishakuwa adicted hata ukiwa kazini utakuwa unawaza muda ufike saa ngapi ukapul.



 



Wanaume wengi sana wanatumia mikono mikavu kujisaga, jambo hili huwafanya waharibu mishipa ya fahamu inayounganisha uume na mfumo uliopo kwenye ubongo.

Uharibifu huu humfanya mwanaume apoteze msisimko wa kujamiiana au hata akiupata humfanya ashidwe kufikisha hisia zake kisawasawa khasa akikutana na mwenza wake ambaye sehemu zake nyeti ni laini sana tofauti na mikono alozoea kujichua nayo.

Jambo jingine hatari linalo mkabili mpiga Punyeto ni upotevu wa hisia wakati wa kujichua kwa mfano ili afike kwenye kilele lazima akuze hisia zake kwa kiwango cha juu, pengine kupita ukweli halisi ataokutana nao pindi atakapokuwa na mwanamke faraghani.

Mpiga Punyeto hajitoshelezi mpaka amlete kwenye hisia mrembo kama Miss World kisha amvike utundu wa kimahaba ampe manjonjo hadi mwenyewe atosheke, kwa namna hii mwanaume mwenye kufanya mazoea ya kufanya hisia za wanawake warembo ambao hawezi kuwapata kwa hali halisi anapokutana na kina Mwafulani wa mtaani tena sio mtundu kimapenzi, hapo kamwe hawezi kusisimka mwili na hivyo kujikuta Uume wake husimama kwa kiwango cha chini sana.

Madhara mengine yanayopatikana ndani ya kitendo hiki ni kuumwana sana na kichwa, mgongo, kupoteza nguvu za mwili na macho, madhara mengine makubwa khasa mwanamme anaejichua mara mbili au tatu kwa siku ni kushidwa kuzalisha, hii inatokana na kukosekana kwa mbegu komavu za kiume kwenye mfuko wa uzazi.

Jamani Tuache kupiga Punyeto
 
elimu hii wangepata wazazi au walimu ili kuelimisha vijana wanaoingia kwenye balehe maana hapo ndipo practical inapo anzia.mtotn akisha kuwa adicted na punyeto ni ngumu kumtoa na ndiyo matokeo ya watu wazima leo kuendelea kupiga punyeto.matatizo ya nguvu za kiume leo hii yanachangiwa na tatizo hili la upigaji punyeto.
 
Kuna kipindi fulani niliuliza rafiki zangu kama 40 hivi ambao wameoa au bado,kama hawajawahi kupiga punyeto toka wabalehe..wote walisema walikwisha wahi wengine walianzia shule za secondary especialy form two na kuacha na wengine walinzia vyuoni na kuacha..wengine walinendelea mpaka walipopata wenza wao...wengine wanasema wanapiga hata kama wanafamily tayari.hii inaonyesha kiasi gani wanaume wanafanya sana punyeto japo kwa siri ili wenza wao wasigundue.
 
Punyeto kama Punyeto haina madhara, sema uki'over do, ndo ina madhara, ndivyo hivyo kwenye vitu kama pombe, ukinywa pombe sana utapata madhara..
 
Back
Top Bottom